Msaada: Simu ikiita, nataka kuendelea na nilichokua nafanya bila kukata

AIR MSAE

Member
Aug 23, 2016
22
17
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote

Naomba mwenye uelewa wa application ninayoweza kuweka katika simu yangu iniwezeshe wakati nimepigiwa simu inaita niwe na uwezo wa kuendelea na nilichokuwa nafanya kabla sijapokea

Natanguliza shukrani ndugu zangu
 
Simu za Xiaomi MIUI yao ina hyo feature bila application yoyote,mimi natumia Xiaomi Redmi note 3 pro ipo hvyo.

yaani kabla hujapokea uendelee kufanya ulichokuwa unafanya,sasa hyo app itadetect vp kwamba ulikuwa unafanya hicho kitu,hapo ndipo naposhangaa
 
yaani kabla hujapokea uendelee kufanya ulichokuwa unafanya,sasa hyo app itadetect vp kwamba ulikuwa unafanya hicho kitu,hapo ndipo naposhangaa
Ndyo hvyo Mkuu.. yangu hata kama nipo YouTube na watch videos ghafla mtu akapiga still video inaendelea ku play at the same time simu inaita it means kunatokea ki Window kdogo sana kwa juu ili upokee au u cancel call na hata uspokee au ku cancel haina shida inaendelea ku play tu
 
asante kwa kunifahamisha,sikujua hilo mkuu
 
Mimi huwa naipata kwa my samsung s ya juu inatokea popup kwa juu naangalia tu na kuendelea na yangu hadi inakata. Ila nikiwa sijafungua chochote ndio inatokea full screen.
 
Back
Top Bottom