Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu heshima iwe kwenu natumai mmeshinda salama naombeni msaada kwa wazoefu wa mambo haya ya umeme.Kati ya hizi Main Switch ipi ni nzuri zaidi ya nyingine na bora kwa matumizi ya nyumbani TRONIC...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapi nitapa betri orijino ya LG G3 na ni bei gani?
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Habari za muda Simu aina ya samsung iko kama imevujia wino kwenye screen Sasa kuna watu wananiambia kuwa nibadilishe kioo pia wapo ambao wanasema Kariakoo kuna mafundi wanasafisha bila kubafili...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Simu yangu ina tatizo la kusoma line nikiweka line katika simu inasoma, ila minara haisomi inaandika EMERGENCY CALL - Airtel na baada ya muda inasoma alafu tatizo linarudi sijajua ni kwanini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wataalam naomba kujuzwa nyumba ninayokaa ina madirisha ya zamani ya chuma kama yale ambayo watumia zaidi kule Moshi/Arusha. Kuna baadhi ya vioo vimetoka/pasuka sasa tunahangaika kubadirisha...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Nikifungua Web page kwenye simu yangu inaniletea page zifuatazo http ://www.maxonclick.com/a/ www.gocloudly.com/rd.html Str.aigames.mobi Then inaleta ujumbe kuwa your Android is demaged by...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ni matumaini yangu mko poa wote..shida yangu ni moja naombeni msaada wenu nataka kudownload formware ya android marshmallow ikiwa kwenye mfumo wa zipped file coz nataka niupgrade OS kutoka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari waungwana, Naombeni msaada, nashindwa ku'access Google Play Store kwenye simu yangu ya Android ...naletewa ujumbe huo hapo juu (REEDEM YOUR CODE). Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa. Naombeni kujuzwa utofauti uliopo kwenye hizi simu za huwawei yaan kwa mfn tofauti kati ya HUAWEI P9, HUWAWEI MATE8 na Huwawei G8 (kwa ujumla utofauti kati ya simu za huawei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona. Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock...
28 Reactions
203 Replies
69K Views
Je pc ya Mac Book Pro aina ya apple inaflashiwa kama laptop zingine zinavyo flashiwa....?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu hivi ni wapi kwa hapa Dar nitaweza kupata kifaa hiki kama inavyoonekana kwenye picha ili nikanunue kabla sijaweka oda online.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua?
1 Reactions
2 Replies
878 Views
Habari wakubwa. Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kama kuna mtu anajua namna ya kutoa icloud acc aje tuchonge coz sikumbuki chochote.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Huna haja ya kufika ofisini huko huko ulipo tunatoa lock na kuweza kuitumia kwa laini yeyote uipendayo. Pia tunatoa network lock samsung huko huko ulipo na malipo utafanya baada ya kujirisha na...
2 Reactions
2 Replies
975 Views
Hello anayeuza RAM ya Laptop ya kuanzia 4GB anicheki 0687535650
1 Reactions
0 Replies
475 Views
Habarin wadau..simu yangu Tecno C8 ghafla tu imeganda kwenye 3G na E kwa wiki mbili sasa..haisomi h wala h+ Ushauri wenu tafadhar
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman naomba mtu anaye weza kunisaidia jinsi wanavyotengeneza App za simu...hasa social application...ikakaa kwenye android app watu wakaidownload ...mfano...millardayo app..mtembez nk Naomba...
0 Reactions
3 Replies
788 Views
Home Technology Tricks & Guides Tech Facts Hacking Programming Gaming Researches Inventions Home Popular 10 Reasons : Why should we use Linux? 10 REASONS : WHY SHOULD WE USE LINUX? By Vicky...
1 Reactions
1 Replies
724 Views
Back
Top Bottom