wakuu habari .
Kama kichwa kisemavyo, nina shida ya kutaka kuifanya account yangu ya Youtube kuendelea kuchuma mapato tena kwani awali walinifungia kwa siku 90 na kunitaka nifute video zote...
Msaada jaman,mi navoonekana ni mtoto wa mjini muda mrefu na nalijua hilo
Ushamba wangu Sijui kutumia au kuchat Snapchat[emoji28][emoji28][emoji28]
Naweza kuitumia kujichukua video na picha tu lkn...
Wakuu nimerudi naomba msaada.
Mi nilibadili font ya simu kwa kutumia app ya IFont, sasa Hii font nimechoka nataka kubadili tena, cha ajabu hats app yenyewe ya I font imepotea, nimeingia play store...
Wakuu nisaidien huawei y6 pro yangu nashindwa kuhamisha documents toka phone memory kwenda kwenye pc kwa kutumia usb cable. Nimejaribu hata bluetooth imekwama japo simu na pc zimepair. Nifanye nini
kuna app nyingi za ku-unfollow watu ambao hawakufollow ig. mfano ni crowdfire na instafollowers. lakin hizi app zimeanza kuzingua, kwa wale mnaotumia hiz app mmeshaelewa nachomaanisha...
Habari ndugu zangu wapendwa wa humu JF?
Jamani leo nimekuja na wazo ,nahitaji kufungua blog ila sijui wapi kwa kuanzia ,naombeni michango yenu tafadhari
Karibuni
****hance...
Kuna mtu alinishauri niapdate sim yangu, lakini nilipoiapdate imepoteza ufanisi hata ktk picha inapiga low quality, nifanyeje maana nimeapdate version imefikia 4.4.2
Msaada tafadhali
Hello, Naomba kujua gharama za kutengeneza mobile application ,kuna application nataka itenegnezwe ni ya maswala ya kilimo sasa natafuta wanao tengeneza hizo applications za mobile hasa hizi android.
PesaApp ni app ya simu ambayo itahusika kusaidia ubadilishaji wa aina za fedha online kupitia simu ya mkononi nchini Tanzania na A.M kwa ujumla.
Wazo hili limeingia katika shndano la EQUITY...
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote
Naomba mwenye uelewa wa application ninayoweza kuweka katika simu yangu iniwezeshe wakati nimepigiwa simu inaita niwe na uwezo wa kuendelea na nilichokuwa...
Mimi kuna baadhi ya Mobile Apps ambazo zimetengenezwa na wabongo na nimezikubali, zimekuwa useful kwangu. Kupitia huu Uzi naomba tuziorodheshe mob apps zote bora zilizotengenezwa nyumbani ili...
Habari,
Nimejitokeza hapa ili nipate ufafanuzi kuhusu jar protected files. Kuna program ina content ambazo nahitaji kuzi copy kwa ajili ya matumizi binafsi lakini nimegundua kwamba iko protected...
Jamanii we naamini JF apa wamejaa wataalam wa mambo mbali mbali yakiwemo Hays ya sim
Nikwamba sim yangu imekua ikinisumbua kuna baadhi ya apps has a za porno ([emoji777] ) zimekuwa ziki...
wataalamu habari!
mie nina shida la kudownload application ya whatsapp na facebook, kila nikijaribu kudownload nafankiwa kabisa ila pale ninapotakiwa kuweka namba ya simu ,basi inakuja alert ya...
Habari zenu wakuu??nimekuja kwenu kuomba msaada,pc yangu kwa sasa ni mzito sana katika internet,inachukua muda mrefu kufungua page,ina RAM ya 2GB,processor ni 1GHz AMD,natumia google chrome na...
Fungua link ya equity bank ya mambo safi kutazama wazo langu la ubunifu na kunipigia kura. Cha kufanya ingia http://tz.equitybankgroup.com/mambosafi/ then juu kuna menu ambapo kuna
mimi ni...
Wakuu ninaomba msaada wa kutoa network lock ya hii simu ya smartkicka nimemchukulia wife naona kiko locked kutumia voda imei ni 357773065476955 Msaada wa code wakuu
Habari wakuu, nina kaswali kananitatiza na huwa sielewi Kwenye hii picha, hilo box lilozungushiwa wino wa kijani huwa lina maana gan kwenye opera min, nimejaribu kuingia mara nying huwa naona simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.