Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu ninaomba msaada wa kutoa network lock ya hii simu ya smartkicka nimemchukulia wife naona kiko locked kutumia voda imei ni 357773065476955 Msaada wa code wakuu
0 Reactions
5 Replies
904 Views
Niende moja kwa moja kwenye swali,je mafile yaliyofanyiwa back up ukiya delet kwenye memori vitu vitafutika? Msaada kwa hilo tafadhali
0 Reactions
3 Replies
638 Views
Habari wakuu, nina kaswali kananitatiza na huwa sielewi Kwenye hii picha, hilo box lilozungushiwa wino wa kijani huwa lina maana gan kwenye opera min, nimejaribu kuingia mara nying huwa naona simu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari Leo nimenunua CD ya 'walking dead' sababu sikuimaliza kabla, Cha kusikitisha nikiiweka kwenye Deki inaload bila mwisho pasipo kuplay, nimebadili CD mbalimbali nikagundua tatizo sio CD bali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jinsi ya ku by pass google verification on tecno pasipo otg
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Nimepakua na kusimika "window move maker".Lakini nimeshindwa kuanza kuitumia sababu ya lugha iliyomo ktk app hiyo (sijajua ni lugha ya kihispaniora au kifaransa wala mi sijui) na si kiingleza au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys mwenye ujanja wa ziada kitu kipya kuhusu kuroot anisaidie maana hii sim ni inshu kuroot nimejaribu njia zote kutoka apps za sim na za computer lakini wapi sana sana sim inaishia kujirestart...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Naomba msaada wenu kwa hili nina simu yangu htc imegoma kupiga kamera ya mbele inapiga nyuma tu.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
We use keyboard every day, be it our desktop, or laptop, or tablet or smartphone. But have you ever wondered as to why the keyboard is not arranged in alphabetical order? The reason goes back to...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau habar zenu? mimi ninachouliza kama kuna umuhimu wowote wa kuupdate window maana wanasema update inasaidia kupata new features lakini ukiachilia mbali hilo pia wanasema ni kuprevent...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello wadau,hivi ni app ama website ipi maalumu ambayo ni nzuri kwa kuweza ku transform picha halisi kwenda katuni.
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Nimejaribu kutafuta habari za wapi nitapata chuo cha Kati ambacho kinafundisha ku-repair,service na mambo mengine Kama hayo,ktk vifaa vya elekitoroniki Kama smart phones,mobile phone na tablets...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanajamii, wanajamvi nina mtu wangu wa karibu anatumia simu ya android Tecno y4, ina wiki sasa imegoma kuwaka kikamilifu yaani ukitoa betri kisha uiwashe inaganda kwenye maneno...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
baada ya kukaa muda sasa naona bora nilipia iwe waifungue simu yangu sasa jinsi ya kulipia izo ela ndio sifahamu msaada wadau na nikiasi gani naweza lipia
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Nawezaje kuroot tecno boom j8 Na zipi faida nikiiroot hii simu?? Naomba mnidadavulie wataalam wa IT
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu kuna vitu vinanichanganya sana, naombeni ufafanuzi kidogo kabla sijaingia mkenge. Kuna receivers ambazo ni MPGE4 compatible na MPGE2 ambayo ndiyo mimi natumia(Mediacom 930+). Tatizo...
0 Reactions
89 Replies
17K Views
Habarini wanajamvi, nahitaji baadhi ya spare kama microphone ya Lumia 820 , USB port ya 820, charger connector ya Lumia 920, charger controller IC ya Lumia 820 kama Kuna mtu anafahamu Duka au...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Wana Forum naombeni msaada wenu. Nilipata kununua simu ya Nokia Lumia 900 online ughaibuni na miongoni mwa vitu ambavyo sikuwa nimeviangalia sana ni betri yake. Simu hii inatumia betri wanayoita...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
When i start black ops 2 an error is coming up and says Error during initialization: unhandled exception caught. please wana jamii naombeni solution. v
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Habari za mida hii, Nina machine Canon ir2420, inanipa error ya Bios Mode waiting for update. Hiyo msg inatokea Mara baada ya kuiwasha. Please naombeni Msada wenu wakuu.
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Back
Top Bottom