Nimejaribu kutafuta habari za wapi nitapata chuo cha Kati ambacho kinafundisha ku-repair,service na mambo mengine Kama hayo,ktk vifaa vya elekitoroniki Kama smart phones,mobile phone na tablets...
Habari za majukumu wanajamii, wanajamvi nina mtu wangu wa karibu anatumia simu ya android Tecno y4, ina wiki sasa imegoma kuwaka kikamilifu yaani ukitoa betri kisha uiwashe inaganda kwenye maneno...
baada ya kukaa muda sasa naona bora nilipia iwe waifungue simu yangu sasa jinsi ya kulipia izo ela ndio sifahamu msaada wadau na nikiasi gani naweza lipia
Wakuu kuna vitu vinanichanganya sana, naombeni ufafanuzi kidogo kabla sijaingia mkenge. Kuna receivers ambazo ni MPGE4 compatible na MPGE2 ambayo ndiyo mimi natumia(Mediacom 930+). Tatizo...
Habarini wanajamvi, nahitaji baadhi ya spare kama microphone ya Lumia 820 , USB port ya 820, charger connector ya Lumia 920, charger controller IC ya Lumia 820 kama Kuna mtu anafahamu Duka au...
Wana Forum naombeni msaada wenu.
Nilipata kununua simu ya Nokia Lumia 900 online ughaibuni na miongoni mwa vitu ambavyo sikuwa nimeviangalia sana ni betri yake. Simu hii inatumia betri wanayoita...
When i start black ops 2 an error is coming up and says Error during initialization: unhandled exception caught. please wana jamii naombeni solution. v
Wadau Habari za mida hii, Nina machine Canon ir2420, inanipa error ya Bios Mode waiting for update. Hiyo msg inatokea Mara baada ya kuiwasha. Please naombeni Msada wenu wakuu.
Habari Ndugu,
Natumia Samsung tablet kwa miaka 3 sasa. Inanipa changamoto, kila nikidownload document za Pdf na Word zinagoma kufunguka.
Naombeni msaada kwa hilo.
Kwa Yeyote Mwenye APK ya WhatsApp Plus Inayofanya Kazi. Material Design Naomba Anitumie ..
Maan Nilikuwa Natumia Moja Juzi Naona Wameshaiblock nimeamia Kwenye Official ambayo siipendi Sanaaaa...
Habari ndgu wanajamvi, jamani msaada ndgu simu yangu galaxy note 4 SM-N910A inachemka sana nikiitumia yan inakua ya na joto kweli kama sufuria limewekwa kwenye moto. Nifanye nini wadau??? Msaada...
Wadau habari za asubuhi!!!
Samahani Naomba msaada wenu tafadhali Nina hiyo photocopy machine ila sina CD ya drivers za printing kwa Hiyo Naomba mwenye nazo anipe msaada tafadhali.
Ahsante
Wakuu naomba msaada wenu kuna siku mbili sikupata channel ya Star TV nikajua ni tatizo dogo lakini sasa hata kwenye list haipo
Natumia Star times..nifanyeje msaada jamani
Wakuu heshima iwe kwenu natumai mmeshinda salama naombeni msaada kwa wazoefu wa mambo haya ya umeme.Kati ya hizi Main Switch ipi ni nzuri zaidi ya nyingine na bora kwa matumizi ya nyumbani TRONIC...
Habari za muda
Simu aina ya samsung iko kama imevujia wino kwenye screen
Sasa kuna watu wananiambia kuwa nibadilishe kioo
pia wapo ambao wanasema Kariakoo kuna mafundi wanasafisha bila kubafili...
Simu yangu ina tatizo la kusoma line nikiweka line katika simu inasoma, ila minara haisomi inaandika EMERGENCY CALL - Airtel na baada ya muda inasoma alafu tatizo linarudi sijajua ni kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.