Msaada: Whatsapp kwenye simu ya tecno

Msaada: Whatsapp kwenye simu ya tecno

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
wataalamu habari!
mie nina shida la kudownload application ya whatsapp na facebook, kila nikijaribu kudownload nafankiwa kabisa ila pale ninapotakiwa kuweka namba ya simu ,basi inakuja alert ya mtandao kuwa chini najaribu mara kibao ,check your internet connection,naamua ku ~uninstall ,yaan mchezo ni huo.
Lakn nkinstall apps nyinginezo znakubal.
Msaada tafadhal ,simu ni tecno w3. nina muda wa miezi miwili natumia simu híi.
 
Ili ku download toleo la karibuni la Whatsapp, unahitaji kuwa na smartphone isio Android 2.1 au 2.2
Simu yako ni version ipi?
 
sjui ila huwa naona kama 6.0
 
halafu kuna hios version ,ni lite :1.0.0
karibu,hiyo niliyoandka hapo juu ni android version. yaan 6.0
 
Kwenye Settings- nenda chini kabisa kwenye about phone-bn
aada ya hapo check Android version
 
Mkuu hizo application ni kubwa kidogo maana updated version yao inafika zaidi ya 30MB,hivi cheki internet kama ipo vizuri
 
unamanisha ,hios version ,lite:1.0.0,na android version,6.0 ni kubwa? hv tatizo litakuwa ni internet quality, sasa inani shangaza kwel process zote znaenda vizuri ikifika sehem ya kuthibitisha namba,mtandao unazingua ,na hapo ndo nnakwama.
 
hzo nlizokupa nmeztoa hukohuko, ndo hizo
kama version nio hiyo lite 1.0 huotaweza kudownload WhatsApp .
Kuanzia 2016 version chini ya 2.7 haupati WhatsApp . Nakupata hiyo error ya internet connection.
Ndio maana apps singine unaweza download na si WhatsApp
 
siwez kupata version ya zaman
 
kama version nio hiyo lite 1.0 huotaweza kudownload WhatsApp .
Kuanzia 2016 version chini ya 2.7 haupati WhatsApp . Nakupata hiyo error ya internet connection.
Ndio maana apps singine unaweza download na si WhatsApp
kama hujui kitu uwe unakaa kimya na kutia subira wanaokifahamu wajapo watoe msaada.
 
Anza na hii;
Tafuta mtu ambaye atawasha wifi hotspot tumia hotspot yake kuanzia kudownload mpaka kuverify hiyo account.

Hii nnayokupa ni ya ziada;
Nenda kwenye settings ingia katika apps kisha google play then clear data. Kisha ingia play store uendelee na ishu zako.

Kwa maoni yangu android version 6.0 marshmallow ni kubwa kwa sasa haiwezi shindwa install whatsapp.
 
umenirejeshea matumaini ,i promise i will do it. na mrejesho utakuja.
 
rekebisha setting za internet hziko sawa hususani kwenye APN inafaa ikae internet ndo utaweza kufanya vtu vinginevyo ni mjanga chief
 
Back
Top Bottom