Picha: Hivi hii alama ina maana gani?

Picha: Hivi hii alama ina maana gani?

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,187
Habari wakuu, nina kaswali kananitatiza na huwa sielewi Kwenye hii picha, hilo box lilozungushiwa wino wa kijani huwa lina maana gan kwenye opera min, nimejaribu kuingia mara nying huwa naona simu inapoteza mwanga mithili ya kutaka kuzima lkn nikiondoka simu inakua kawaida inarudisha mwanga, so karibun mwenye kujua msaada tafadhali

c.c Chief Mkwawa.
1474575769118.jpg
 
Wino wa kijani= wino wa bluu
 
Hiyo inaitwa qr code ni sawa na bar code hua ina kazi ya kuhifadhi taarifa ya kitu au huduma fulani ili ujue imehifadhi taarifa gani unatakiwa kuiscan hiyo qr code.

Playstore kuna apps za kuscan hizi qr code/ barcode, ukidownload na kuinstall utafungua hiyo app ambapo utatumia kamera yako kuielekeza katika qrcode/ barcode husika na itakupa majibu, kwa kutumia hiyo app unaweza hata kuscan vitambulisho na kila kitu chenye barcode au qr code.
 
thats is QR code, that means (Quick Radable Code)

by defn, is the machine radable code, wich contains array/optical of black and white squares, particular its used to store URLs and other informations wich can be readable by either using camera on smartphones or other dedicated reading devices
kwa maana nyingne kwa kiswahili, ni kuwa hicho kitu huwa kinabeba information ya kitu fulan ambacho kimekuwa attached na hyo QR code..
hata betry yako ya cm au zile ticket za mwendokasi, zina hyo QR code ambazo ukipita kwenye get lao zinascan kuwa either umelipa na hata kama umelipa, muda umeisha au haujaisha, hivyo
 
Hiyo inaitwa qr code ni sawa na bar code hua ina kazi ya kuhifadhi taarifa ya kitu au huduma fulani ili ujue imehifadhi taarifa gani unatakiwa kuiscan hiyo qr code.

Playstore kuna apps za kuscan hizi qr code/ barcode, ukidownload na kuinstall utafungua hiyo app ambapo utatumia kamera yako kuielekeza katika qrcode/ barcode husika na itakupa majibu, kwa kutumia hiyo app unaweza hata kuscan vitambulisho na kila kitu chenye barcode au qr code.
Inaitwaje hiyo app?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom