Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Same-sex marriage becomes legal in D.C. March 3, 2010 | 7:24 am Same-sex couples can start applying for marriage licenses in Washington. At least 16 couples were waiting at a courthouse...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi. Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Tumsaidieni huyu dada jamani.... Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye...
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Will I ever make love again? Four women reveal why their sex lives have simply fizzled out Last updated at 11:06 PM on 23rd February 2010 A survey last week revealed that a quarter...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Jamani wifi yenu/shemeji yenu mashallah mungu anawez jalalia kupata member mwingine wa JF,Sasa alivyo ana miezi 7 Nimekutana na mwenzangu ambae tulipishana kidogo kuwatunngia mimba hawa wake zetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho...
0 Reactions
183 Replies
15K Views
Habari zenu wana jamii forums. Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono. >Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia. >Awe...
0 Reactions
116 Replies
10K Views
Jana nimekutana na demu wangu ambaye nilifanya nae matusi mara moja, mwezi wa saba, mwaka jana Ni demu mkali mno, ni mhudumu wa hoteli maarufu hapa town. Kwa sababu nilikua najali maisha yangu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana JF, Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini...
0 Reactions
27 Replies
12K Views
kuna mkaka mmoja alimtogoza dada mmoja mwaka mmoja na nusu uliopita lkn huyo dada akamkatalia kistaarabu tu,sasa pamoja na muda mrefu kuwa umepita lkn huyo kaka kila siku anampigia huyu dada simu...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga! ***************************************************** Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi. Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau" Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
UONGOZI wa Kanisa la Evangelistic Assembles Of God Tanzania Jimbo la Dodoma, limemsimamisha na kumfutia leseni ya huduma ya kiroho nchini mchungaji wake kutokana na kupatikana na hatia ya uzinzi...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Kwa wale ambao wako kwenye ndoa au mahusiano, kuna wakati mwenzi wako anakusimulia kuwa mtu fulani (ama unamfahamu au la) amemchokoza kwa kutaka wawe na mahusiano ya kimapenzi (amemtongoza). Kuna...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
BBC presenter died 'as sex game went wrong': Colleague weeps as he lays a floral tribute Last updated at 10:31 PM on 02nd March 2010 'Lovely guy': Kristian Digby at his home A...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mjomba Hana Lolote Nina sehemu ya kuishi kwenye mwili, wakati mwingine naishi kwenye hotel inayoitwa damu; kila mmoja ananijua mimi ndiyo naitwa Kirusi mtoto wa UKIMWI, na nilizaliwa kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa Leo hii nimekuja kutoa Mawazo yangu kidogo jinsi ya kuokoa ndoa za watanzania,,, leo hii ndoa si kama wazee wetu walivyokuwa wakipendana kutoka moyoni,.... ndo zao leo hii zimejaa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
if you could only read her mind, she would say... buy me a rose call me from work open the door for me, what would it hurt? show me you love me by the look in your eyes these are the little...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Jamani nimepita sehemu nikaulizwa hili swali na sababu sina experience nalo nikaona nililete hapa kweza kupata msaaada wale wanaume wanaotembelewa wanaitwa mashoga je wale wanaume wanaowatembelea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom