Jamani nimepita sehemu nikaulizwa hili swali na sababu
sina experience nalo nikaona nililete hapa kweza kupata msaaada
wale wanaume wanaotembelewa wanaitwa mashoga je wale wanaume wanaowatembelea...
Stop sexualising children, says David Cameron
Conservative leader David Cameron has called for an end to the "inappropriate sexualisation" of children.
Parents should be able to complain via...
Amini Uwezo Wake tu!
Kama kunyesha mvua siku ya harusi yako ni baraka basi hawa maharusi kutakuwa kulikuwa na mafuriko maana maharusi wanafanana, huwa sichoki kutazama hii picha.
Watafiti...
Jamani hivi kuchora tatoo sehemu za siri ni ujanja ama kuiga
utamaduni wa wenzetu,na mtu anasikia raha gani kufanya hivyo tena karibu na goli kabisa...
Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1
Kulikoni zimekwisha? ama?
Makoo yamekauka yanahitaji...
Maharusi wengi (Bi au Bw) huwa wanagundua wamechemka siku ya harusi yao.
Mzee mzima unaweza ukakiona kitu kikali , mguu mguu, shingo shingo, mgongo mgongo,,,dimpo dimpoz,,,,,,na ukaanza...
Nipo kwenye daladala, naitazama saa ni saa 6 mchana, siku ya jumamozi wiki iliyopita yaani juzi tu. Nimekosa kiti nawajibika kusimama. Tupo abiria kadhaa mbao tumesimama kiasi ambacho tumebanana...
In my experience had noticed that majority of women like to say the word,"F*** me ,F*** me" repeatedly during sex.This is monotonous and boring.New words need to be invented to spice up the game.
let me quote one of the member's comment. ...
Hehehehe kuna jamaa etu akisha piga ulabu huwa anamtongoza mke wake lol,
swali langu... sasa mie na shangaa mtu asipo mtongoza mke wake/ au mme...
Jana nilikuwa napita karibu na bar fulani,nikasikia wimbo wa Jide wa Wanaume kama mabinti ukanikumbusha mbali.Nikatafakari sana na baadaye nikaja kugundua kuwa Lady Jaydee ameimba kitu cha ukweli...
Ili mapenzi yanoge, kuna wakati tu utalazimika kufanya kile anachopenda Mwandani wako japo kwa kujikosha.
Kuna Kaka mmoja toka Pemba alioa mke huku Bara, Mpemba alianza kunywa pombe lakini...
Raha ya safari mtu upaki usisahau kitu na maandalizi yachukue muda mrefu mpaka wote mhakikishe mmepaki meridhika wote mnaanza safari to the mountain kilimanjaro na raha ya mlima huu ufike juu...
Wana Jfs nalileta hili ombi nisaidieni kumuelimisha my best friend wangu...
Story yenyewe iko hivi nanukuu tukiwa kama mume na mke tunatakiwa kusaidiana, kwa mfano umeamka asuhuhi umekwenda...
mi niemjaribu mpaka kwenda hospital kujua hii hali jamani
utakuta mtu kamwoa mkewe kaenda kutoa mahari mwenyewe
akapewa tunda la roho mwenyewe,wakafurahia wenyewe
baya na wengine wakatotoa...
Mchungaji Atumia Pesa za Kanisa Kufanya Ukahaba
Mchungaji Samuel Martin Martin katika tangazo lake la ukahaba Saturday, February 27, 2010 1:57 AM
Mchungaji mmoja nchini Hispania ametimuliwa...
Hivi jamani wana wenzangu Jf...kwanza hamjamboni na poleni na shughuli. Ningependa kujua mtu anaweza ku access e-mail ya mwengine bila kujua password yake. Na je program hio inaitwaje, na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.