Natishiwa maisha

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,873
2,736
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
 
Samahani Mziwanda kwani yeye huyo binti mlikubalianaje wakati mnaanzisha uhusiano
 
muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
....:d:d:ddah!
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
umeshawahi kummega? ulizama chumvini? kama ndio basi hapo pana kazi...
 
Mziwanda we si mtu mzuri bana..Unaanzisha mahusiano na mtu, then unataka kumfrustrate baada ya kumchoka..Kwanini umuache?...Mbona ushamvuruga na kumfunuafunua, sasa unataka kumshiti upate mtu mpya..Ni tabia mbaya sana hiyo. I dont entertain it at all!...Who knows unataka umwache ili ukamvuruge mwingineo?..Ningekuwa na namba ya mdada huyo namwambia akomae mbaya kabisa, na asikusikie wala kukuelewa..huh!...
 
Ladda jaribu kumbadilikia, mpe bad sex ,halafu jaribu kuto oga na kuto piga mswaki kila unapo kutana naye ,alafu uwe lazy kitandani na pia act uko supper broke , muombe hela sana na uonyeshe hujishughulishi na ume kua mlevi, kila unapo kutana naye uwe una act umelewa na una smell bad , kama vile hujipendi , tuone kama ita work .
 
Usikute ni FL1 amerudi kivyengine, maana ukiangalia statistics zake ni mkongwe huyu!
hehehe!lakini fl1 ana tuzo mbili za heshima kutoka kwa invizibo.na pia ni premium memba,na pia amejiunga june ya 2009!INGAWA INAWEZEKANA
 
ladda jaribu kumbadilikia, mpe bad sex ,halafu jaribu kuto oga na kuto piga mswaki kila unapo kutana naye ,alafu uwe lazy kitandani na pia act uko supper broke , muombe hela sana na uonyeshe hujishughulishi na ume kua mlevi, kila unapo kutana naye uwe una act umelewa na una smell bad , kama vile hujipendi , tuone kama ita work .

mtoto wa kishua au mwehu, what an advise is this. Mbona huyo binti ni yule dada yako katika ukoo wenu!
 
Ladda jaribu kumbadilikia, mpe bad sex ,halafu jaribu kuto oga na kuto piga mswaki kila unapo kutana naye ,alafu uwe lazy kitandani na pia act uko supper broke , muombe hela sana na uonyeshe hujishughulishi na ume kua mlevi, kila unapo kutana naye uwe una act umelewa na una smell bad , kama vile hujipendi , tuone kama ita work .

What could one expect from a SENIOR BACHELOR!...ndo ushauri wa "watoto wa kishua" huu..no wonder!, but coming to truth, ushauri huu ni PUMBA na unawafaa cannibalists, as far as iam concerned.
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Jaribu kumuelezea kwamba mapenzi ndo yameshakwisha,na ndo unampango mwingine hivi sasa,mnasihi kwamba hata kama atajiua haitaleta mabadiliko yoyote katika maisha yako na yake ndo yatakuwa yameishia hapo,na pia mshawishi kwamba maisha yake hayatokuwa mazuri kama akiwa na wewe anahitaji kuwa na bwana mwema na atakayempenda kwa mapenzi ya dhati na sio kwa penzi kama la kwako la uzushi linalozaliwa,kukua na kufa kwa kipindi cha miezi minne.Usiache kumueleza kuwa yeye ni mwema,mkweli na mwenye mapenzi ya ukweli kwa hiyo hawezi kuishi na wewe ambae ni kicheche mwenye mapenzi ya uongo yanayoanza ghafla na kwisha ghafla.Mnong'oneze pia kwamba umeshajianika tena JF kwa ajili ya uhusiano mwingine ambao hujui utachukua miezi mingapi kwa atakaenasa kutaka kujiua.Mwambie asijilaumu sana kwa kuzama katika penzi lako kwa kuwa vishawishi vilikuwa ni vya hali ya juu na kama alishawahi kusikia hadithi kuhusu matapeli wa mapenzi waliobobea,wewe ni mmoja wapo.
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia

Na ukipata mwingine pia utalalama hivyohivyo, kwani ulipoanzisha mahusiano naye ulitegemea nini? Hayo si ndiyo mapenzi yenyewe?
Banabana....wacha mabo yako hayoooo.
 
Mziwanda we si mtu mzuri bana..Unaanzisha mahusiano na mtu, then unataka kumfrustrate baada ya kumchoka..Kwanini umuache?...Mbona ushamvuruga na kumfunuafunua, sasa unataka kumshiti upate mtu mpya..Ni tabia mbaya sana hiyo. I dont entertain it at all!...Who knows unataka umwache ili ukamvuruge mwingineo?..Ningekuwa na namba ya mdada huyo namwambia akomae mbaya kabisa, na asikusikie wala kukuelewa..huh!...
kukomaa si dawa kaka,huyu dada ni mwema hapaswi kuishi na mtu muovu,kwa sababu ni miezi minne tu ,ni vyema kumshauri aongeze ibada kumshukuru mungu kwa kumzindua mapema kwani angeingia nae ndani ya ndoa ingekuwa balaa,kukomaa na kicheche kutamtesa zaidi
 
Ladda jaribu kumbadilikia, mpe bad sex ,halafu jaribu kuto oga na kuto piga mswaki kila unapo kutana naye ,alafu uwe lazy kitandani na pia act uko supper broke , muombe hela sana na uonyeshe hujishughulishi na ume kua mlevi, kila unapo kutana naye uwe una act umelewa na una smell bad , kama vile hujipendi , tuone kama ita work .

I hate your signature!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom