Mheshimu anae kuheshimu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Wanandoa nimeona hili sasa ni kansa ya jamii
hivi ni kwanini unaamua kumcheat mwenzio wakati mwenzio\
hana hata hilo wazo kama kuna tatizo mnashindwa kumalizana\
je kutoka nje ya mahusiano ni soln ya matatizo....hapana
jaribuu kujitunza hata kama uliwahi kufanya acha tafuta soln ya
matatizo yako na si kuongeza matatizo kwa kufikiri unapunguza matatizo
nawatakia mahusiano mema wana ndoa/waachumba n wote watarajiwa

XMASS NJEMA
 
Kua uyaone Pdiddy!

Mi nijuavyo ni kwamba wewe uko single, na ndo maana kipindi fulani majuzi hapa uliomba kwa mods kuwe na jukwaa la kutafuta wachumba hapa!

Kucheat ni matokeo ya mambo kadha meengi ndani ya ndoa, ambayo hayaelezeki hapa..(kucheat unakoongelea nadhani unamaanisha kwa both sexes!)...Unaweza usielewe vizuri sasa na kumlaumu mwanandoa, hadi utakapokuwa kwenye hii taasisi.
Well, see you there!(when you get married)..!
 
paka jimmy mi niko kwenye ndoa miaaka 2 sasa mkuu....
hilo bado lisiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa ama hata ukiwa na mahusiano na mwenzako/uchumba jifunze kutocheat
 
What is this animal-thing called 'miaka miwili"

You are just a beginner dear...loong way to go!

Na nyie vijana wa siku hizi utakuta bado hujaamua kuzaa for all that period...kwahiyo bado mapenzi ni motomoto...bado hujaziona kero!

Iam not a crusader for cheating, na naogopa sana hii kitu, lakini i just beg you to be silent on this matter till when you get perfectly brewed!

Thank you!
 
hahahahaha!mpwaaaz naona unatishia sasa....
 
eeeh eeh eeeh!
brother namna hii vijana watakuwa hawapeleki posa:D
 
wacha nibaki single kwa maoni hayo mmhhh
 
jaribu kuwa siriaz kijana.sasa hivi unaandika hivi:
wacha nibaki single kwa maoni hayo mmhhh

wakati bandiko lako la kwanza uliandika hivi:
paka jimmy mi niko kwenye ndoa miaaka 2 sasa mkuu....
hilo bado lisiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa ama hata ukiwa na mahusiano na mwenzako/uchumba jifunze kutocheat

unajidhalilisha sana ndugu!POLE
usitumie ile dhana ya WHERE WE DARE TO TALK OPENLY kuexpozi udhaifu kama huo,AM I CLEAR?
 
hahahahaha!mpwaaaz naona unatishia sasa....

eeeh eeh eeeh!
brother namna hii vijana watakuwa hawapeleki posa:D

Geoff:
Hakuna haja ya kuongea kufichaficha hapa(i know what you are heading to, young broda:D).
Lakini, spade lazima iitwe spade! and we should not decotare too much this marriage/relationship-thing!..Ndoa ni msalaba bana!
 
...na kweli,
maji moto hayapozi kiu, kama picha ya samaki isivyo kitoweleo cha ugali!
 
Geoff:
Hakuna haja ya kuongea kufichaficha hapa(i know what you are heading to, young broda:D).
Lakini, spade lazima iitwe spade! and we should not decotare too much this marriage/relationship-thing!..Ndoa ni msalaba bana!
duh!duh!duh!
I AM FIINISHED:)
 
Geoff:
Hakuna haja ya kuongea kufichaficha hapa(i know what you are heading to, young broda:D).
Lakini, spade lazima iitwe spade! and we should not decotare too much this marriage/relationship-thing!..Ndoa ni msalaba bana!

Duuu! kazi ipo! EE Mungu tusaidie.
 
Wanandoa nimeona hili sasa ni kansa ya jamii
hivi ni kwanini unaamua kumcheat mwenzio wakati mwenzio\
hana hata hilo wazo kama kuna tatizo mnashindwa kumalizana\
je kutoka nje ya mahusiano ni soln ya matatizo....hapana
jaribuu kujitunza hata kama uliwahi kufanya acha tafuta soln ya
matatizo yako na si kuongeza matatizo kwa kufikiri unapunguza matatizo
nawatakia mahusiano mema wana ndoa/waachumba n wote watarajiwa

XMASS NJEMA

Kuonja onja matunda ya dunia! Kila tunda lina utamu wake kaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom