Wenye kuelewa chat up line za kibongo tuwekee.

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Natafuta chat up line za hapa bongo mwenye kuzielewa tusaidiane safari ni ndefu bila msada mtu atalala njiani.
 
kasheshe haya ndio matatizo ya kuishi ndani ya zoo.
haha!! wewe unaaama hujui bongo5 au unataka nyingine ipi halafu utakuwa unachati na nani sasa unajuwa watu wangapiwana access ya internet bongo?
 
haha!! wewe unaaama hujui bongo5 au unataka nyingine ipi halafu utakuwa unachati na nani sasa unajuwa watu wangapiwana access ya internet bongo?

Mkuu lakini unajuwa (unaelewa) maana ya chatup line ?usijizonge ,nothing to do with internet.
 
Preciseness muhimu,

Unaposema chat line unamaanisha pickup lines au chat rooms?
 
Ok , una weza Mwambia demu wa Kibongo, "Mrembo niaje, Nakutaka la aziz, Jimama nipe raha, Ewe mpenzi unataka Sosej, Mrembo unani handa , " yani zipo nyingi wewe ukidondoka bongo tuu utazijua zaidi.
 
jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii si mpe huyu mheshimiwa chating sites kwa wanaozifahamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu msaidieni,Thegrid ni nzuri mtu wangu
 
Ok , una weza Mwambia demu wa Kibongo, "Mrembo niaje, Nakutaka la aziz, Jimama nipe raha, Ewe mpenzi unataka Sosej, Mrembo unani handa , " yani zipo nyingi wewe ukidondoka bongo tuu utazijua zaidi.
you hate Tanzania? hater...
 
Christmas-Minnie-Mickey-Claus.jpg

A Holy Child born unto us
to redeem a lost world of sin
Filling hearts with love and joy
weary souls He came to win
 
miaka ileee zilikuwepo pick-up line kama
"salama au macho yangu?", "ndege itatua au kiwanja
kimejaa tope?" lol
 
Back
Top Bottom