Mapenzi

mabina

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
216
26

Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?
 
KARIBU MGENI!inaonekana unapenda sana mapenzi
hili si jukwaa la mapenzi.
 
Tumeumbwa nayo, toka utotoni, ila unapokuwa unaanza kuyaweka kwenye makundi.
Mapenzi ya kuwapenda wazazi
Mapenzi ya kujamiiana
Mapenzi kwa walimu wako
Mapenzi kwa jamii
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?
huyo msichana hakufai, achana nae...nakushauri usubiri mpaka utakapofunga ndoa...
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?

Hapa sijui kama nimekuelewa vizuri. Unauliza How shall I do ama
what should I do?....Kama ni 'how' basi gongo gogo usikize mlio kisha
kula kona. Kama ni 'what' basi achana nae.
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?

Mi wala sijakuelewa ungeandika kwa lugha yetu ya taifa tu
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?
hapo kwenye RED alikua sahihi, single maanake not married.(but can be in relationship, so hujatuambia alikwambia yuko single, je in relationship?)
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?

Nyerere ndio aliko haribu hapo.
 
Mkuu hujaeleweka mbona lakini when you were "approaching" her na kumwaga mistari maybe she was single halafu na wewe ulivyotuliza na kuendeleza uchunguzi wako akawa ameshapata boyfriend who happened to be a teacher anayemark form four exams (sioni tatizo la kudate mwl anayemark mitihani)

Sasa hebu clear what seems to be the problem kaka????
 
Nyerere ndio aliko haribu hapo.

hehehehe!nimekusoma

Hii ilitakiwa aiweke kule kwenye jokes/jukwaa la elimu ili wamfundishe ngeli.

MSAMEHE BURE!\mwanzoni aliiweka kwenye jamii-photos.baadae SILENCER amemsaidia kuliweka huku

wakuu mi nadhani ni tatizo letu la mfumo wa elimu wa sasa hivi!

hizi shule hizi ambazo hazina waalimu na waliopo ndo wale waliofeli masomo yale yale wanayofundisha!

Hivi mmewasikia hata hao wanaosoma hizi St Academy na vingereza vyao vya 'ze ze ze ze'

Aibu tupu
 
hehehe!watoto wanaowaita baba zao DAADI!
balaa tupu.kuna kabinti kamoja kanasoma GENESIS kaliwahi mwambia baba ake:''DAAD,CAN I MARRY YOU?...'' mtu mzima ikabidi nisepe kwa staili kama naongea na simu kumbe aibu
 
Na "like like like" kibao yani wananiudhi basi tu na sentensi zinakuwa hazijapangika vizuri kabisa hata huezi elewa anasema nini
 
Tehtehtehtehteh
 
hali ni ngumu jamani..wengine wanaongea ivo ivo wanachanganya na kiswahili humo humo..sasa hapo tunajenga taifa ambalo halijui kiswahili wala kingereza!

habari za hang'over lakini (offtopic)
 
sijui ninyi mliokunywa!mimi akaaaa!:D
 
Back
Top Bottom