Kati yako na mwenzio nani alikuwa wa kwanza kutaka staili fulani katika mechi

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
hivi ukipata habari au kutazama katika video fulani na kujifunza stail fulani katika mambo yetu yale,unafanyaje kumueleza mwenzio maana mimi nikimwambia mwenzangu anadamimi ni mhuni kwamba nimejuaje.

nimejaribu kumuelea chanzo yeye anadai kuwa iweje kila siku nije na stail mpya.

wenzagu mnfanyaje ?
 
Mpeleke physically ukamuonyeshe unapozitolea
 
Ana kila haki ya kukufikiria wewe ni MHUNI. Kwani wWewe unategemea akwambie au akufikirie nini kama kila siku unamweleza staili mpya ya kucheza mechi bila kumwambia unakoipata au unakojifunzia. Mpeleke mkajifunze wote kwapamoja na nakuhakikishia utaona mwenyeweee matokeo yake mazuri.
 
Ukimwambia ni ubunifu wako bado anakuona kicheche?? Hata hivyo nina imani akiikubali hiyo staili mwisho huwa ni kuburudika tu na hakuna maswali kuwa imetoka wapi au sio??
 
kama ni mke or mume wako ukiona akuelewi nenda nae chimbo unakojifunzia kama unataka kumpa supraise akuone mjuzi basi imekula kwako kubali matusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom