KILITIME
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 265
- 18
Wapendwa wanaJF, nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu kabla mtu hajaingia kwenye ndoa akaambiwa ukweli kwamba mwenzi wake alikuwa na tabia ambazo sio nzuri, kwa mfano umalaya, uhuni, ulevi, kutoa mimba, nk. Je, ni vizuri jamani au itamfanya awe mbali zaidi na mwenzi wake kuliko kujua undani wake? Kwa ujumla: Lipi bora, kujua au kutokujua juu ya tabia au mambo hayo kabla? Msaada tafadhali, msiniulize kama yamenikuta au la!