Mabinamu ya kweli haya jamani....

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Eti ni kweli imekuwa ikitokea katika mahusiano tuliyo nayo ..long ago ulikuwa na mpenzi ambaye ulimpenda na yeye alikupenda kwa dhati lakini katika mazingira yasiyoeleweka inatokea msiwe pamoja ..umeoa,umeolewa inatokea mnapata mtoto ..kama ni wa kike husband ataomba wife naomba umpe jina la ZionD ,Bht,MJ1 ,carmel or vyovyote mradi ni jina la yule kipenzi wake wa zamani pasipo wife kujua hiyo secret
na kama wa kiume wife nae ataomba ooh honey naomba tumwite ,Nguli,Fidel,Xpin ,Geoff or vyovyote vile mradi yule wake wa moyoni aendelee kuwepo katika kumbukumbu za maisha yake
ya kweli haya...
!!!????
 
Hiyo binamu wala si masihara. Ninayo mifano miwili live. Ndiyo maana mimi nikipata kadume, jina nakapa mwenyewe. Hahaha! Pole kwa yaliyokukuta, ushamstukia mzee nini? LOL!
 
Kwani Jina si mnadiscuss na kukubaliana??? bora muwe na makubaliano sioni kama kuna ubaya ukimbandikia mtoto jina la your ex...kumbu kumbu zingine sio mbaya eti!
 
hahahah Xpin hebu acha maskhara bwana mie mbado kumshitukia ila nimekumbana na discusion hapa imezua utata home kwa mtu eti amehisi wife kampa mtoto jina la ex-boyfriend wake hahahahah
 
Kwani Jina si mnadiscuss na kukubaliana??? bora muwe na makubaliano sioni kama kuna ubaya ukimbandikia mtoto jina la your ex...kumbu kumbu zingine sio mbaya eti!

shishi unaweza ukakumbuka na siku mkikutana unakumbuka zaidi hahaha
 
Nadhani yanaweza yakawa yametokea au yanaweza yakatokea,duh lakini ni mbaya kiasi kwa upande wa yule atakaefanyiwa,unaweza ukamchukia mtoto ukigundua.kuepusha yote bora kuwapa majina watoto kutokana na nasaba
 
Sasa ukikumbuka zaidi kuna ubaya gani. Kujikumbushia muhimu bana! Ili mradi tu msifumaniwe! LOL!

hahahaha Binamu kama kawa yako na wewe ukipata mtoto mwingine akaitwa Anna sijui ester huo msala
 
si vibaya kukumbuka yah lakini ni kwa upande wa yule zinaemfariji hizo kukbukumbu,nadhani kumkumbuka x wa mke wangu si kumbukumbu nzuri kwangu
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah aha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!.............
First lady umenifurahisha sana na umenikumbusha mbali sana duuuuuu.Hii ni kweli nina tumifano 2 kuna dada 1 tumesoma naye kitambo Advance alikuwa BF wake walipendana sn wakaja kuachana saizi kaolewa na jamaa mwingine kabisa wamezaa mtoto mmoja wa kiume katika harakati za hapa na pale nikakutana nae mitaa fulani akiwa na mtoto nikampongeza kama kawaida yetu ya wabongo nikamuuliza jina la mtoto nikahamaki kusikia jina la ex-BF wake nikash2ka kidogo nikamuambia unamuenzi jamaa nini alicheka sana hakunijibu k2.
Pia hata mm niliua na GF wangu kitambo kuna jina nilikuwa nalipenda sana Mungu akinijalia nimpe mtt wangu nikawa namuambia uyo GF wangu kuwa mungu akitujalia tukaoana na kuzaa mtt wa kiume nitampa jina fulan.Then tukaja kuachana yy akabahatika kuolewa na jamaa mwingine na kuzaa mtt wa kiume akampa jina lile lile nililokuwa nalitaja mm tukiwa pamoja

Hii ipo kabisaaaa ni kweli mpwa
 
hahahaha Binamu kama kawa yako na wewe ukipata mtoto mwingine akaitwa Anna sijui ester huo msala

Nadhani ndio maana Mungu ananijalia tubinti tu. Labda wife angefanza vitu vyake. Na nyie inakuwaje mnawauliza waume zenu majina ya x-GF wao? Mnajitafutia presha za bure. Mi hata sijui kama wife alishawahi kuwa na BF japokuwa sikumkuta bikra. Sihitaji presha za kujitakia.
 
Nadhani yanaweza yakawa yametokea au yanaweza yakatokea,duh lakini ni mbaya kiasi kwa upande wa yule atakaefanyiwa,unaweza ukamchukia mtoto ukigundua.kuepusha yote bora kuwapa majina watoto kutokana na nasaba

bahati mbaya sana mtoto atakuwa hana makosa maskini ..
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah aha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!.............
First lady umenifurahisha sana na umenikumbusha mbali sana duuuuuu.Hii ni kweli nina tumifano 2 kuna dada 1 tumesoma naye kitambo Advance alikuwa BF wake walipendana sn wakaja kuachana saizi kaolewa na jamaa mwingine kabisa wamezaa mtoto mmoja wa kiume katika harakati za hapa na pale nikakutana nae mitaa fulani akiwa na mtoto nikampongeza kama kawaida yetu ya wabongo nikamuuliza jina la mtoto nikahamaki kusikia jina la ex-BF wake nikash2ka kidogo nikamuambia unamuenzi jamaa nini alicheka sana hakunijibu k2.
Pia hata mm niliua na GF wangu kitambo kuna jina nilikuwa nalipenda sana Mungu akinijalia nimpe mtt wangu nikawa namuambia uyo GF wangu kuwa mungu akitujalia tukaoana na kuzaa mtt wa kiume nitampa jina fulan.Then tukaja kuachana yy akabahatika kuolewa na jamaa mwingine na kuzaa mtt wa kiume akampa jina lile lile nililokuwa nalitaja mm tukiwa pamoja

Hii ipo kabisaaaa ni kweli mpwa

kwi kwi kwi kwi kwi hata wewe umenichekesha kumbe hivi vitu vipo hahah
ndoa zina majambozi eeh
 
Eh mie nilikuwa najua majina mara nyingi huwa ni ya wazazi wenu au ndugu zenu wa karibu mfano jina la mama/baba mkwe au mama/baba yako!! Duh hayo kwangu mapya ila kama ni kweli hata mie ningepata nafasi ya kuweka kumbukumbu yangu lol
 
you know...its a dangerous ground to tread on!!!!!

basi ni vyema usimpe dedication ya jina kabisa maana inaweza kuzua utata ndani ya mahusiano ,na unapoamua kufanya hivyo ni kwamba huyo mtu bado unampenda na lolote linaweza kutokea
 
Haya mambo yapo jamani. Lakini nadhani ni kujitafutia matatizo yasiyokuwa na msingi, habari ya kumbukumbu isiwe kihivi jamani maana ikigundulika ni migogoro mitupu itafuatia.
 
Eh mie nilikuwa najua majina mara nyingi huwa ni ya wazazi wenu au ndugu zenu wa karibu mfano jina la mama/baba mkwe au mama/baba yako!! Duh hayo kwangu mapya ila kama ni kweli hata mie ningepata nafasi ya kuweka kumbukumbu yangu lol

Hehehe! MJ1 wewe! LOL! We si ulisemaga uliolewa ukiwa bikira? alikuwa Kumbukumbu gani tena? Au alikuwa nyamayao? Hahaha!
 
Back
Top Bottom