Black men love big fat girls

Usishanagae!!!!!!!!!!!!!!!!! Nahisi ni mambo to ya kujirusha viwanjani(DISCO)
 
i dont see no wonder!
Kwani hao wanawake hawapo?...au hawataki kupendwa?..
How come inakuwa ni ishu ya waafrika tu?

Absolutely nothing new!
 
hiyo stori niliwahi kuisoma kwenye magazeti ya shigongo kama miezi miwili iliyopita
 
Hivi kwani mwanamke kuwa mnene ni kosa au anakuwa avutii??

Au ndio kila akipendacho mthungu ndio bora na kizuri!!
 
Ni jadi kwamba wabantu wanavutiwa na miss Bantu na waingereza wanavutiwa na English figure, wahindi huvutiwa na kitovu kushuka kiunoni, wazungupia kuona chuchu ndio uchawi unaowachanganya. Kwa hiyo sio ajabu, waafrika wanapenda vya kwao ndio kulinda mila yao. Ukiona mwafrika anapenda figure nambari One ujue anaiga uzungu huyo. Hapendi kubeba mifupa mwafrika, ona wazungu warefu wanapenda mabibi short na slim. hakuna cha ajabu hapo.

Leka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom