Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Habari wanaharakati!!
Kuna issue inanitatiza naomba niwashirikishe mnipe msaada wa mawaidha.
Nina rafiki yangu wa karibu sana ambaye namchukulia kama bro. Miezi 4 iliyopita alifanikisha kumpata mpenzi aliyempenda na kumhangakia kwa muda mrefu sana.
Siku 1 akawa kafanikisha kupewa apige gemu but kila akitaka kuanza mambo ki2 kinalala, ilimtokea mara 4 katika siku tofauti hali ni ileile but wakati romance mambo shwari kabisa.
Last month binti katangaza ndoa na m2 mwingine,rafiki yangu kauliza reason kumbe binti ana mimba ya jamaa huyo anayetaka kuoa.
Binti anasema hampendi jamaa coz hampi care kama alizokuwa anapata kwa rafki yangu, sasa hivi rafiki yangu anashinda na analala nae yule binti na wanaendeleza penzi kama kawa huku maandalizi ya harusi ya huyu binti na jamaa mwenye mimba yapo mwisho coz ni next week!
Rafiki yangu anasema hamwachi huyu binti na atamwoa hata bomani!!!
Nimshauri nini huyu rafiki yangu coz hasikii wala haoni kwa huyu mke mtarajiwa wa m2???