Mwaka mzima kavukavu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka mzima kavukavu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zipuwawa, Dec 1, 2010.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ni muda wa mwaka mmoja sasa sijaweza kukutana na mwanamke hii inatokana na hali halisi na sehemu nilipo mila na Desturi zao ni kali. Siku za kwanza nilidhani nitapata hata demu mmoja wa kuweza kuchakachua! Lakini mwaka sasa unapita bila bila.

  Naomba msaada kama kuna mtaalamu ninaweza kuwa mzima kama mwanzo hofu yangu kitu chochote usipokitumia basi uwezo wake wa kufanya kazi unapungua.Sasa kama kuna mtaalamu naomba anishauri nitakuwa bomba au ndio imekula kwangu?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sema uko wapi tu- for export only
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Acha kumpa mwenzio matumaini wakati ambapo wamsanifu tu....mwenzio atachukulia kwa umakini wake halafu itakuwa ni shida............
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Preta jamani huku niliko ndio hivyo tena nishauri tu nitakuwa okay au ndio kazi ninayo?
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwa kweli nimefurahi kusikia kuwa kuna sehemu mabinti wanadhibitiwa kiasi cha mtu kukosa hata wa kuchakachua kwa mwaka mzima.
  natamani siku nikiwa mama niishi ktk ulimwengu kama huo na kabinti kangu.
  kuhusu swali lako nadhani hakuna madhara,tafuta kuna thread ya Rev. masa kuna mtu alimuombea ushauri kama wako,yeye alikaa sijui miaka saba bila kumjua mwanamke ila wengi walidi hakuna madhara ya kiafya.
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  uko saudia nini kaka! madhara yapo kaka unaweza ukawa chizi!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  wewe unajuaje kama nipo mahali alipo?...huwezi jua....wakati mwingine unaweza ona utani lakini watu tupo serious
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  nyeto itakuwa imekumaliza bila shaka. Pole mwenzetu
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kweli hata mimi nakuombea siku ukiwa na kabinti kako uje uishi huku maana hutakuwa na shaka kabisa. Kweli maisha ya Bongo kuchakachua ni rahisi sana sijui kwanini lakini kama hakuna madhara nashukuru na ninauhakika kuwa Mungu nae atanisaidia!
   
 10. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kweli naweza kuwa chizi ila kwakuwa sasa naendelea vizuri basi nashukuru !
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Lakini kumbe na mimi naweza kukuta nasaidiwa sema naleta utani hapa
   
 12. s

  seniorita JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama ni mwiko kuchakachua mabinti, tafuta alternatives zingine.....read between the lines. Plus who told you you must use it?
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mfamaji na wewe maneno yako yaweza kuwa kweli!
   
 14. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ila kusema ukweli niko curious kakangu kujua ni sehemu gani uliko ambayo ni uchakachuzifree,maana muda si mrefu nilikwenda maeneo fulani ambako ni kijiji mno hadi mnapishana na chui,hakuna hata phonenetwork lkn vibinti vya huko vinachakachuliwa na wafanyabiashara kutoka mjini hadi machozi yanaweza kukutoka.
  kama hupendi kutaja in public niambie hata Pm jina la hiyo sehemu/nchi naona ni maajabu sana,labda nikipajua naweza kujifunza kitu kutoka kwa wamama wa huko.
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Poa hata mimi mwanzo nilizani kama mazaha kwani nilikuja na vijitabia vya kuchakachua vitoto vya watu lakini mwaka unatimia sasa nimeishia kuwaona tu kwa mbali au sijui kwakuwa wao ni weupe na mimi ni hii ngozi yetu ya laana? lakini hata wao sioni kama ilivyo kwetu Bongo kufukuzia Watoto wa watu kwenye vichochoro usiku na mchana hata Bila aibu! Nimejifunza mengi kwakweli!
   
 16. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  that sounds like a dreamland.
   
 17. Nipigie

  Nipigie Senior Member

  #17
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nahisi ni kati ya nci zifutazo. Egypt, saidi arabia, Algeria, Tunisia, iran etc.
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Jina lako tu ... Eti Zipu Wazi wazi au?
   
 19. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Zinaweza zikawa hizo za wale wenye misimamo mikali
   
 20. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nishauri sasa nifanyaje kweli jina ni hilo ila naomba ushauri wako !
   
Loading...