Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyangoma, Dec 2, 2010.

 1. nyangoma

  nyangoma Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  we nyangoma wewe, mwone kwanza!ngoja nirudi baadae kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Be back soon ngoja nikazimue kwanza...
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  haya mapenzi ya kukomoa haya hatari sana...Nyangoma my dia ni aibu sana kwa mwanamke kufanya mseto kama huo...ictoshe huyo kaka mwingine umesema anakaribia kuoa, sasa uliamua tu kumvulia chupi kujifurahisha? wanawake kama nyie bwana mnatutia aibu wanawake wengine.
   
 5. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mpe ushauri ndo kesha kosa ivyo....BTW hujambo bibie?
   
 6. s

  seniorita JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aibu hiyo, tubu kwa Mungu na kwake....then accept the consequence of your doings, no easy way out
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  cjambo kabisa my love...labda nimshauri tu aachane na wote wawili, huyo mkaka alieumizwa hata wakirudiana hatakuwa na mapenzi aliyokuwa nayo mwanzo atakuwa kwa ajili ya kukata kiu tu...nyangoma umetokota..
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  there is no way to justify umala**a you did it and thats the end of story....namshangaa hata huyo jamaa anaelia lia. wanawake wengine bana.... yaani we umeenda huko umeipeleka nanii yako halafu unarudi hapa tukushauri jinsi ya kupaka mafuta mazambi yako....i hate women of such a low caliber. take it from me acha kumzingua jamaa we chapa mwendo!
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unajua Nyamayao, wanawake wengi siku hizi huu uchi wao wanaufanya kama asset fulani hivi!na ndio maana kunakuwa na malipizi na kukomoana kwa style hiyo!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,042
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  wewe ni muuaji, ndani ya miezi sita umemsaliti mtu kwa kuzini na mume mtarajiwa wa mwanamke mwenzako. Je bi harusi mtarajiwa akifahamu?
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  hapo wanakosea sana, mwanaume hata akikupenda kivipi lakini yakitokea mambo kama haya roho yake inakinaiwa kabisa, wachache sana watarudisha mapenzi kama kawaida, hapa nilipo bado najiuliza nyangoma alifikiria nn mpaka kufanya alichofanya, kwanza kamsaliti mpenzi wake mahali pacpo(mtu anaekaribia kuoa/wapo ofc moja)...hivi mwanamke unajua mwanaume huyu ana wake na anakaribia kuoa uckute na mchango nyangoma katoa na kampa zawadi ya kumvulia chupi free....khaaa wanawake wengine hapana kabisa.
   
 12. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kesha kuacha huyo
  hata kama utaolewa nae ipo siku atakuambia kuwa wewe malaya ndiyo maana ulifanya ngono na rafiki yangu then atakufa talaka saba pamoja na wadogo zako.
   
 13. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nimekipenda kipande hiki..!!

  Nyangoma na mimi naomba nikate kiu plz...!!
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  lakini kumbuka sio wanawake wote ambao wanajua thamani ya miili yao!kuna wengine kumvulia chupi mwanaume kwa tendo tu la haraka, mara moja mbili kwake sio issue hata kidogo!yeye anaona hana cha kupoteza hapo, aibu kwako!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. RR

  RR JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,696
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa hapa....jamaa anaacha kazi au anakuacha wewe....:confused2::A S confused:
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  hao wapo....hata nyangoma yupo kwenye group hiyo!
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  anaacha kazi coz nyangoma kamtenda....kuna watu wanajua kupenda ati sio kama wewe!...cjaelewa kwann nyangoma bado anamuita huyu kaka "mpenzi".....
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Labda nimuulize nyangoma swali moja alipomkomoa kwa kutembea na rafiki yake amepata nini? Saa zingine akili zinakuwa za namna gani hapo sidhani kama kuna kitu cha kufanya ili yeye asahau sababu wakati unafanya ulidhamiria tena umesema mwenyewe ulikuwa unataka "kumkomesha" halafu sasa hivi unahitaji ushauri ufanyaje ili asahau maumivu WTF!!!!!!! Vitu vingine vinaudhi sanaaa
   
 19. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  she is simply a wh**e!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Duh!!!!! Kuna mwanamke wa kuita mpenzi wako hapo????? Kwenye nyeusi hapo acha kutudanganya
   
Loading...