Why...kwaniniii...?


Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Messages
2,470
Likes
23
Points
145

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2009
2,470 23 145
Najiaminisha kuwa mwanaume na mwanamke wakikaa siti ya mbele ya gari.... asilimia kubwa huwa ni wenzi/wapenzi...
huwa najiuliza; kila nikipiga chabo toka kwenye benzi la mwaibula(daladala) na kubahatika kuona hizo 'kapo' mara nyingi huwa WAMECHUNIANA..!!

Hii inamaanisha nini?!!
 

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,585
Likes
75
Points
145

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,585 75 145
Watu wengi wakikaa pamoja kwa mda mrefu hata kama sio wachumba story huwa zinapungua sana, au mmoja wao anakua hana story sana ni mtu wa kuuchuna
 

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
34
Points
135

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 34 135
washaongea mengi hme/njiani,mipango haipangwi barabarani,kimada hawana mda wa kuongea mengi sana wachache wenye malengo nao wengi ni utumiaji tu kama tissue paper,so wanapokuwa njiani lazima waongee ushwaitani wao wote kabla ya kufika eneo la kazi.
 

Forum statistics

Threads 1,203,851
Members 456,992
Posts 28,132,142