Kumbe hawara haachiki!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,637
8,729
Niliachana na smll hse nimejikuta ninaye kwenye mavituzi tena ya moto kuliko yale ya zamani nini jama??naninaye mwingine je nifanyeje??amekuwa mtamu kuliko niliyenaye!!Natumejiiba naye ana wakwake!!Nishahurini nimmwage au niendelezemakamzi kimyakimya??
 
Waswahili wanasema mahawala huwa hawaachani hata wakae miaka 10 wakikutana ni kama jogoo na tetea
 
Niliachana na smll hse nimejikuta ninaye kwenye mavituzi tena ya moto kuliko yale ya zamani nini jama??naninaye mwingine je nifanyeje??amekuwa mtamu kuliko niliyenaye!!Natumejiiba naye ana wakwake!!Nishahurini nimmwage au niendelezemakamzi kimyakimya??
Na huyo unliye naye pia anakamuliwa kimyakimya....! hahaha.....!
 
Mh!(beauty is in the eyes of the beholders),mwanamke ni yule yule lakini sema wewe mwenyewe umepagawa tu!pole sana kwa ujinga uliokukumba!!
 
Lazima tukuulize kwanza wewe unatakaje juu ya ilo ndo tukushauri tunaweza kukusaidia kukupa ushauri kumbe wewe ulishaamua zamani sana...
 
hiyo kumuacha huwezi hawara??? nani kakwambia wanaachana?? Hapo tumikia wote tu ushalikoroga linywe sasa
 
Niliachana na smll hse nimejikuta ninaye kwenye mavituzi tena ya moto kuliko yale ya zamani nini jama??naninaye mwingine je nifanyeje??amekuwa mtamu kuliko niliyenaye!!Natumejiiba naye ana wakwake!!Nishahurini nimmwage au niendelezemakamzi kimyakimya??
Kama mtamu kuliko zamani basi halalisha kuliko huo utamu wa mafichoni
 
Mi nakushauri fuata matakwa yako ila ikifika zamu yako na we kuchakachuliwa utatuomba ushauri kama ulivyofanya leo?maana opposite ya front ni back na wema ni ubaya.je wewe unachagua vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom