hivi kwanini

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,971
1,195
huwaga mara nyingi wale tunaowapenda kwa dhati wao huwa hawatupendi ki hivo huwa tunaishia kujipa matumaini tu kwamba na wao huwa wanatupenda hata kwa wale walioa na kuolewa watakubaliana na mimi kuna wakati wanakumbuka kuna wapenzi walikuwa nao na walikuwa tayari kufanya lolote kwa ajili yao lakini hawakupenda the same way wakaishia kuoa kuolewa sehemu nyingine ambapo upendo haulingani na lile walilokimbia

huwaga natafakari nakosa majibu laiti kama mapenzi yetu yangekuwa yana balance kwenye mizani sidhani kama watu wangesaliti wapenzi wao /ndoa zao, hata wanaume wanaojitetea kwamba ni nature hawawezi kuishi na mwanamke mmoja napingana nao mi naamini bado ukimpenda mtu kwa dhati hutomsaliti na utakuwa tayari kumueleza yale unayohitaji na kuvumilia madhaifu yake katika hali yoyote mapenzi yatakufunga macho kwa mwingine awaye yote huyu atakuwa malkia na dhahabu pekee kwenye maisha yako
 

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,591
2,000
Find the person who will love you because of your differences and not in spite of them and you have found a lover for life.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom