Wapenzi wa Jukwaa hili! Mahusiano,mapenzi,urafiki.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,511
8,449
Je kuna kati ya wapenzi wa jukwa hili ameenda kupima VVU??leo ni 1,Dec,2010 siku ya ukimwi Duniani Mimi nipo hapa nanenane morogoro nacheki ngoma!!je wewe??:painkiller:
 
Kumbe umeenda kuangalia ngoma tu? mi niko hapa mnazi mmoja kuna ngonjera, maigizo , sarakasi, kwaya na ngoma mbalimbali za asili

KK umeongea jambo zuri sana kupima VVU/UKIMWI ni muhimu sana aisee
 
nimepima Kakakiiza kama dkk 25 zilizopita
nahamasisha na wenzangu kupima afya zao
 
Toeni status zenu siyo mnatwambia mmepima wakati hamtwambii nini mlichopima!!twambia wamekukuta vipi??
 
Kumbe umeenda kuangalia ngoma tu? mi niko hapa mnazi mmoja kuna ngonjera, maigizo , sarakasi, kwaya na ngoma mbalimbali za asili

Hivyo kilasiku pale makumbusho mimi nimteja wao kwahiyo issue ilikuwa kupima na wala siyo kujua status!!:spider:
 
KK huko uendako sasa naona ni kubaya ujue status za kila mtu ili iweje tafadhali Mkuu taratibu?!!!

Shikamoo da da Dena Amsi............ mimi thijambo kidogo, naumwa thana kiuno........... ngoja nkapime thijui nitakuta nini ila thithemi thtatath yangu thitaki ugomvi na mtu
 
yeah... nimeenda

ila suala la status ni mambo binafsi sana

Sawa ya wezekana kuwa la kibinafsi zaidi lakini humu jf are much more than relative hivyo is better to let us know ur status pls:help::help:
 
Toeni status zenu siyo mnatwambia mmepima wakati hamtwambii nini mlichopima!!twambia wamekukuta vipi??
It is not necessarily to display the results here in JF, but it will be better to share the results with your husband/wife/BF/GF, and then let him/her say to the JF whether he/she knows your status....!
 
Je kuna kati ya wapenzi wa jukwa hili ameenda kupima VVU??leo ni 1,Dec,2010 siku ya ukimwi Duniani Mimi nipo hapa nanenane morogoro nacheki ngoma!!je wewe??:painkiller:
Uko na mwenzio au umemwacha nyumbani? Usije ukaenda kupima kisirisiri....
 
This is to all jf members
A moment of pleasure can destroy many lives,an act of carelessness can shut many dreams.be safe be free from HIV/AIDS.PLS CHECK URE HEALTH STATUS.
 
Shikamoo da da Dena Amsi............ mimi thijambo kidogo, naumwa thana kiuno........... ngoja nkapime thijui nitakuta nini ila thithemi thtatath yangu thitaki ugomvi na mtu

Marahaba ulienda wapi weye. Umeshapata majibu? Kiuono hujasaidiwa wewe siku nyingi eeehhh Pole nitakuletea dawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom