Salaam aleykum!
Wapendwa naomba mnijuze, mme wangu kila akisafiri anafunga kabati lake la nguo hii inaashiria nn? kipindi cha nyuma nilikuwa nampangia nguo zake baada ya kizinyoosha nikakuta kanga...
Hii ni kwa wale wapwa na mabinamu hasa hasa Teamo, Finest, Asprin, Keizer, Roya roy, Bigirita, G-Y etc ....pale mnapotoka kwenye infii wakati mnawai home....
60 km/h - "It is well with my...
usimtumbulie macho au kumlaumu kikojozi ujue hilo ni balaa.....................wengi wa vikojozi hutokea kutokana kuishi kwenye mazingira magumu wakiwa watoto.............................yaani...
Umeoa/umeolewa ushauri , mawazo au maelekezo yapi ni ya kuya fuata? unayopewa na mmeo/mkeo au wazazi? na kama mwenzi wako anafuata sana yale anayopewa na wazazi kulioko ya mmewe/mkewe je yupo sasa...
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar
Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv?
Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine
mmh inanikera sana...
During one of our seminars, a woman asked a common question.
She said, "How do I know if I married the right person?"
I noticed that there was a large man sitting next to her so I said, It...
Kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga hapa nchini kwa sasa.Ni aibu na fedheha kwa jamii yetu ya kitanzania kuiga tabia hii ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu.inashangaza sana pale unapokutana na...
Nimehamia nyumba ingine hivi karibuni, ya kupanga. Ni upande wa nyumba, chumba kimoja na sebule. Kasheshe ni jirani wa upande wa pili. Dada mmoja hivi. Hapo miaka ya nyuma kidogo nimewahi kuwa na...
Yaani ipo njemba moja ambayo ilimganda binti wa watu hadi akamegewa...........baada ya kuonjeshwa asali jamaa sasa adai hakufurahika na aona bora ajinasue..........wakati mwenzie afikiri sasa...
Aisee juzi almanusra nidundwe na demu aisee. Yaani sijui ingekuwaje...maana sijawahi kabisa kupewa kibano na demu na hata kupigana na demu siwezi na sitaki.
Mwenye tajiriba ya kudundwa na demu...
You can't believe that circumstances have conspired to make your loving wife cheat on you and risk your marriage by doing so. You never thought she would be capable of such an act. Not only do you...
Habari zenu tena hapa.....
Nna jambo moja huwa silielewi..ni wakati gani pete ya ndoa na ya uchumba (kama alibahatika kuchumbiwa) huvaliwa mkono wa kulia maana juzi naona mtu katinga mkono wa...
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but...
Nikweli kila mtu atakuja na yake
lakini leo si mbaya mabinti sasa mnapoelekea ni pabaya na mbaya zaidi hadi watoto wa shule wamekuwa wakivaa nguo za aibu na matokeo yake wanaingia na vimini...
kazins, nefyuz and all frends and hetaz
Mkoloni alinitembeza wee hadi Lahore, Kivu na hata el salvador... Lakini kusema ukweli mawazo yangu yote yalikua nyumbani,
i just missed evrything back...
Nawakumbusha vijana mkumbuke kujilinda ili muendelee kuishi. Nimewahi kuwaeleza vijana wajizuie kupiga, wakijifanya gonga gonga watakuzika, wanakusahau.
Hata kama una salio la kutosha jizuie...
salam alkum waungwanaa...kunaa rafiki yangu sanaa amepatwa na tatizo na binafsi nimeshindwa kumsaidia,ningeombaa tumsaidie wote hapaa.jamaa aliowa miaka mi tano iliyo pita,alimtoa msichana...
Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya...