B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,414
- 2,963
salam alkum waungwanaa...kunaa rafiki yangu sanaa amepatwa na tatizo na binafsi nimeshindwa kumsaidia,ningeombaa tumsaidie wote hapaa.jamaa aliowa miaka mi tano iliyo pita,alimtoa msichana kijijini akamsaidia mbayaa,waka zaa watoto wawili.jamaa anafanya kazi za mountain climber[poter] katika kampuni ya shemeji yake kaka ake mkewake,mkee wake ana fanya saloon moja ma arufu ya kunyoa wanaume[mali ya kaka ake].kamaa miezi sita iliyo pitaa jamaa alikuwa amepumzishwa kazi kutokana na kukosekana wageni wa kupanda mlima kili.HAPO ndo matatizo yalipo anza mwanamke alizaza kumletea zarau..akirudi mara anarudishwaa na magari ya kifahari,kiburi...jamaa akavumilia.ila kama dunia haina siri jamaa alipewa tarifa kwamba mkewake anatembea na kiboselee flani[jina kapuni],alipo peleleza akakuta kweli na kwavile alikuwa anampenda mke wake na hakutaka watoto wake walelewe na mamaa wakambo akapotezea kama hajui.ilaa mwezi uliopitaa yalimshinda alipo mfumania mkewee tena na kibosile mwingine akaa amua kumwaga manyagaa.tatizo ni hili...jamaa bado anafanya kazi katika ile kampuni ya tours kama poter na ni ya kaka ake mwanamke[usauri je aache ile kazi atafute nyingine au aendelee]kwani yeye anahisi wanamtenga?2.yule mwanamke ana demand matumizi ya watoto na yake?japo ana jua jamaa now hayuko vizuri...?NI STRORY NDEFU ILAA NIMESEMA KWA UFUPI??