Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia...
Umeoana na mwenzako kidini,kimila au kiserikali.Kimila naingiza umo wale wenye ku cohabit.Unaona mambo yamebadilika.
Mara mwenzio kabadilika sura, tabia na kila kitu. Anakukera mwanzo...
Haipiti wiki bila kusikia jinsi wanawake tulivyo viumbe vya ajabu!!Hatueleweki...tunasema hili tukimaanisha lile...tunafanya hili wakati tunataka lile, yani hatuna moja.
Ila ukweli ni kwamba...
Ndugu wana JF
Wengi nadhani mliliona tangazo hili
"natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia...
Leo katika kucheki Mwanachi ya leo nikakuta habari nzuri isemayo MAMA AJIFUNGUA WATOTO 5! Nilifurahi sana nikasema hana haja ya kuongeza watoto wengine wametosha.
Nilipoendelea kusoma newz hii...
hebu nijuze, hawa watu wanaoigiza picha za ngono ni watu huru kabisa katika jamii zao, yaani kiasi ambacho wanapita mitaani na watu wanawajua kuwa yule ni porn star ameigiza picha fulani na fulni...
Siongeli kumdanganya mpenzi wako kwamba amependeza wakati anachukiza . Hapana!!!!! Lakini Je? Kuna ubaya gani kumficha mwenza wako kama ukweli unajua utamuumiza, na hawezi kuvumilia .. Just...
Msaada tafadhali wakuu,maana toka kuche siku ya leo najiuliza na sijapata jibu,hivi inakuwaje inaonekana ni jambo la kawaida pale baba anapokuwa na umri mkubwa kushinda mama inaonekana kawaida...
PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka.
Kwenye pilipili kuna...
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana mavazi ya kike! Unakuta mwanaume anavaa kikuku ama pete kwenye vidole vya miguuni. Mwanaume anavaa G string, ama vipedo jamani mavazi ya dada zetu hayo...
Wana JF especially girls, nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma, Bachelor Degree, or Masters, awe faithful.
Mimi nina Masters in International Trade. Aliyetayari ani PM.
Jana nilichelewa kidogo kulala, nilikuwa nikisoma novel huku nikisikiliza clouds fm.
Mida ya saa sita kipindi kilianza , mwanamke na mwanaume walikuwa wanaongea NGONO hadharani.
Watu walikuwa...
Huyu dada anatisha sana na anameremeta...Hebu ona vitu vyake...
afrodenzi
JF Senior Expert Member
Join Date:Mon Nov 2010
Location:sweet home
Posts:2,096
Thanks:250
Thanked 232 Times in 216 Post...
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.
Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku...
Wana jamvi,
Hivi ni kweli watoto wa kiume huona wivu sana wanapowakuta mama zao na wanaume wasio baba zao, kuliko wanavyowakuta baba zao wakiwa na wanawake wasio mama zao? Kama ni kweli, kwa...
Wife goes to supermarket, sees men's briefs on sale. She buys a dozen of the same colour. Goes home and gives hubby.
Hubby protests, 'Why buy me same colour? People will think I do not change...