Mama mkwe ananinengulia je ni mtego au?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,049
458
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia mke wangu hata siku moja, ni bado kijana tu na analipa kweli lkn je nimege hili tunda? mie naona kama mtego maana anajua kabisa nampenda mke wangu na akisikia watu wanaongelea mimi na wife anakaa kimya au anaondoka...huyu anataka balaa au sio jamani??
 
Kula acha ujinga, kwani mna uhusiano gani? next time dont post this kind of thread bcoz is just OPEN AND CLOSE CASE. We are here to discuss difficult matters and not such soft stuffs which, one could just clear and shut up his moutn. Halooooooo.
 
Kula acha ujinga, kwani mna uhusiano gani? next time dont post this kind of thread bcoz is just OPEN AND CLOSE CASE. We are here to discuss difficult matters and not such soft stuffs which, one could just clear and shut up his moutn. Halooooooo.We kweli shetani lile number one kabisa kwa hiyo nimsaliti mke wangu?
 
We kweli shetani lile number one kabisa kwa hiyo nimsaliti mke wangu?

Kumbuka ni mama mkwe wa rafiki yake na yeye eti anajifanya ni mama mkwe wake. hiyo ni wapi na wapi? mpe mama wa watu haki yake. kama amekushinda acha marafiki wengine waende mana wewe ni mnafiki.
 
Bora sie tusiooa, mnaharibu kabisa maana ya ndoa. Kama hamuwezi jitoeni kwenye hizi ndoa jamani, sio kuleta hipocrisy ya ndoa za majina tu.
 
Mi nakushauri linda ndoa yako Mtu kuijipendekeza kwako basi usizani anatka kufanya mapenzi na wewe.

Jitahidini mlioko kwenye ndoa muweze kutuvuta na sisi tujifunze nini toka kwenu ?
 
kama yuko umri sawa na mama yako...which i think she is,achana naye...
 
tabu yenu mnakaa JF kuomba ushauri kabla ya kumega.unatakiwa uje hapa utoe hoja km ya mama mkwe nyembamba nyeusi,imenona imekonda,inapumua haipumui,inatoa maji haitoi.tigo je unakula?hizi hadithi zenu za kukimbia mbunye za shule ya msingi,kula kwanza maswali baadae.mwenzio k.ndoni pale nilikua namtembelea kila anayegusa kitasa cha mlango.awe baba au mama au mjukuu.
 
tabu yenu mnakaa JF kuomba ushauri kabla ya kumega.unatakiwa uje hapa utoe hoja km ya mama mkwe nyembamba nyeusi,imenona imekonda,inapumua haipumui,inatoa maji haitoi.tigo je unakula?hizi hadithi zenu za kukimbia mbunye za shule ya msingi,kula kwanza maswali baadae.mwenzio k.ndoni pale nilikua namtembelea kila anayegusa kitasa cha mlango.awe baba au mama au mjukuu.


Duh mkuu funga kasi wewe, kweli kula kwanza then ushauri baadae au sio?
 
Back
Top Bottom