Hawa Watu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Watu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chapa Nalo Jr, Dec 14, 2010.

 1. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  hebu nijuze, hawa watu wanaoigiza picha za ngono ni watu huru kabisa katika jamii zao, yaani kiasi ambacho wanapita mitaani na watu wanawajua kuwa yule ni porn star ameigiza picha fulani na fulni.

  Je kuna ambao baadaye waliacha hizo shughuli na kuanzisha maisha ya heshima na kuingia katika ndoa?
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hawa ni watu tofauti sana na jami zetu..
  wengi na dhani familia zao haziruhusu lakini mtu akisha kua huwezi kumchagulia maisha..
  na utashangaa wengine familia zao zinawasaport...

  kuna kitu kilinisikitisha sana na kunishangaza " kwenye familia fulani nilisikia ni family bussiness"
  wenyewe hafanyi lakini ..
  lakini baba ndo director na mama ndo producer....
  ujue dunia ndo tumekwisha hivyo...

  "ka kuna mtu ataniuliza zaidi kuhusu hili sintojibu samahani"

  kuna dada anaitwa Jenna Jamison ni mama anafamilia na watoto wawili ..
  she is the richest porn star in the world...
  she get $30 million +...... a year...
  kasema kaacha hiyo buss sasa ni mama wa nyumbani na anatunza watoto wake..
  lakini kitu kinacho mwogpesha sana ni nini atawaambia watoto wake wakikua..
  hope nimekujibu..

  AD..
   
 3. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Nikazi kama kazi zingine kwenu africa ndo mnaona aibu kwa ulaya hata matangazo yao yapo ktk tv!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuna Dada mmoja Italy, ambae alikuwa akifanya picha hizo aliwahi kuwa Mbunge wa huko kwao.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  not a big deal. Kama dada zetu wafanya biashara ya miili to survive, why not make few milions and change business.
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ivi kua porn stars ni ilegal hapa kwetu?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  We kwenu ulaya eeeeh
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mmmm hii thread kiboko
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  xcuse me bandugu kuna mtu anadili? lakini lazima niwe steling
   
 12. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  igiza na wewe uone
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wako huru na wanafahamika - US na Europa hiyo ni kazi kama kazi yeyote ile na inalipa kwelikweli!
   
 14. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  namfahamu anaitwa Dina Mario,ni mzaliwa wa Brazil ila alikuwa na uraia wa Italy na aliishi na kusoma Italy chama chake ni DMM na mpaka sasa ni kiongozi wa Chama hapa Milan,mtoto wake wa kiume ni shoga na anaclub yake karibu kabisa na San Sirro stadium,mtoto wake wa kike ni Lecturer chuo kikuu cha Florence huko Firenze.namjua mkuu na hata mpaka sasa ni mtamu sana ukimuona anamvuto anajiita Miss Brazil
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  kama fiksi fulani hivi mkuu hutudanganyi kweli?
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG] naipenda hii picha sana lol... Jamaa kajitandikia zake hana shida kabisa lol
   
Loading...