Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa


Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,609
Likes
56
Points
145
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,609 56 145
[FONT=&quot]PILIPILI[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka.
Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali ambao huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo katika hali ya juu huleta mgusu wa hisia za raha. [/FONT]​
[FONT=&quot]Pia pilipili husisimua mfumo wa ufahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kumshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) na pia ili ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa uweze kupata hisia kila sehemu[/FONT]​
[FONT=&quot] [/FONT]​
[FONT=&quot]MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Mlo wenye matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. [/FONT]​
[FONT=&quot]Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol), kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu. [/FONT]​
[FONT=&quot]Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na libido kidogo. [/FONT]​
[FONT=&quot]Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia au kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua.[/FONT]​
[FONT=&quot]NAFAKA[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Nafaka zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu (complex sugar) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili. [/FONT]​
[FONT=&quot]Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone kwenye damu. [/FONT]​
[FONT=&quot]Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa tendo.
Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya nejama na mahusiano mazuri ya ndoa yako[/FONT]​
[FONT=&quot]TANGAWIZI[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. [/FONT]​
[FONT=&quot]Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.[/FONT][FONT=&quot]ASALI[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Asali ina madini yanayoitwa boron, ambayo husaidia mwili kutumia homoni ya estrogen ambayo ni homoni inayohusika na viungo ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke.
Pia kuna utafiti unaoonesha kwamba asali huongeza nguvu, kitendo ambacho kitapelekea mwanamke kuwa uwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.[/FONT]​
[FONT=&quot]KARANGA[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Karanga huhusika moja kwa moja na kutunza mfumo wa mzunguko wa damu kuwa na afya (vascular system). [/FONT]​
[FONT=&quot]Pia mfumo wenye afya (mzunguko wa damu) katika uke na uume huwezesha mwanaume na mwanamke kupata msisimko wa mapenzi haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa zuri.
Pia karanga zina madini muhimu kama vile magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo ni muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za mwanaume.


[/FONT]​
[FONT=&quot]OYSTERS[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume. [/FONT]​
[FONT=&quot]Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume na wakati huohuo kuwa na madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa.


[/FONT]​
[FONT=&quot]SOYA[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha fat na pia kuwa na kiwango kizuri cha protein, soya zina phytoestrogens ambayo husaidia sana wanawake ambao wamefikia menopause kutengeneza homoni estrogen ya ziada. [/FONT]​
[FONT=&quot]Husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) mwanamke akisisimliwa wakati wa tendo la ndoa.


[/FONT]​
[FONT=&quot]CHOCOLATE[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Chocolate ina phenylethylamine, kemikali ambayo husababisha hisia (feelings) za furaha wakati wa mwanamke au mwanaume kufika kileleni (orgasm)[/FONT]​
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
79
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 79 145
I heard ndizi mbichi also which part of matunda
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,485
Likes
14,782
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,485 14,782 280
Asante sana sana, nafikiri wengi wakitumia hii diet Dk Manyuki hatapata wateja! asante saana, nina karanga zangu ndani na asali mbichi hebu ngoja nitafanya practical nione kazi yake kwa karanga sina tatizo!!!
 
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
8,524
Likes
833
Points
280
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2008
8,524 833 280
[FONT=&quot]OYSTERS[/FONT][FONT=&quot]
[/FONT]
[FONT=&quot]Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume. [/FONT]​
[FONT=&quot]Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume na wakati huohuo kuwa na madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa.​


Hapa na Pweza wanahusika kidogo.​
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,957
Likes
335
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,957 335 180
Baada ya kupata huo mlo ongezea na zeoezi kidogo la viungo.. Linasaidia kuweka sawa mapigo ya moyo na moja kwa moja kurahisisha msukumo wa damu mwilini...
 
P

Pamba

Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
28
Likes
1
Points
0
P

Pamba

Member
Joined Nov 27, 2010
28 1 0
Saga tende na maziwa iwe kama juice kunywa kwa siku saba
 
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,609
Likes
56
Points
145
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,609 56 145
sawa kabisa:A S-alert1:
 
hashycool

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
6,432
Likes
1,459
Points
280
hashycool

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
6,432 1,459 280
uji wa shurba watengenezewa na nini vile?
 

Forum statistics

Threads 1,237,476
Members 475,533
Posts 29,289,871