LOVE and TRUTH...................................

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.

Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and HONESTY. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa honesty kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.

Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.

Natanguliza shukrani zangu
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.

Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and TRUTH. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa truthfull kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.

Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.

Natanguliza shukrani zangu

Naamini kuwa kuna tofauti sababu kuna wale ambao kupenda kwao ni kwa kutamani so he/she wont give a damn about being true to you
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Naamini kuwa kuna tofauti sababu kuna wale ambao kupenda kwao ni kwa kutamani so he/she wont give a damn about being true to you

I agree with you sweetheart but there is a situation when the true love do exist....but you just have to hide something to save the present joy....... nlikuwa natizama movie moja where a man was once an armed robber and a lady a call girl......... a man decided not to tell but the lady decided to tell......it just ended right there.......but something similar happened to a very close friend of mine and bahati mbaya alipotell, mwenzi wake alilichukulia kama SI Unit....kila akikosea anarefer
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,195
asante MJI unakumbuka kule nilikuuliza ivi kuna mapenzi au ni usanii tu unaendelea naamini nitapata majibu ya yale nayofikria naomba kuuliza umegusia kuhusu kuficha yale uliyofanya nyuma kabla hamjakutana ili kulinda penzi lenu vipi kuhusu yale watu wanafanya nyuma ya pazia huku wakificha wapenzi wao?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,983
2,000
Miss, I must confess, I admire your topics. They are thought provoking and debate stimulating. Way to go.

Back to the topic at hand, by nature human beings are not honest (and here I'm talking about absolute honesty).

So it is naïve for anyone to think that their partners are or will be 100% truthfull to them. There is no such thing.

If I may ask, have you ever lied about anything (big or small, significant or insignificant) in any of your relationships? And when was the last you lied about anything?
 
Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
1,195
Uongo ndiyo huleta penzi na ndiyo hulinda penzi. just make sure mwenza wako hataujua uongo huo kupitia other sources.......
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,195
mh hapa ndo huwa napata shida uongo nao una mwisho wake kama ulivo ubaya penzi linanogeshwa na uongo??????HOW!halafu ukija kujua linaingia shubiri sasa kipi bora kuambiwa halafu ukubali au kutoambiwa halafu siku unajua unaishia kwenye magonjwa yetu ya moyo na vidonda vya tumbo hembu tuweni wakweli

Uongo ndiyo huleta penzi na ndiyo hulinda penzi. just make sure mwenza wako hataujua uongo huo kupitia other sources.......
 
Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
1,195
Siri lazima iwepo baina yenu! Cha muhimu ni kuhakisha haivuji! Asee uongo kidogo unachangia mapenzi kushamiri! Ivi tukiamu.kusema kila kitu mambo hayaendi!
 
Nanren

JF-Expert Member
May 11, 2009
1,919
2,000
If you you love someone then that someone must be protected from the truth. Truth can hurt. Truth can destroy relationship. Truth can even kill. Protect your lover from the truth!
 
Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
0
hi ppl. Sorry for interupting th topic. Cheuro naomba nifundisheni ku PM.dont ignore pld
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,195
hahaaa nimefurahi sababu sijawai kuPM sasa ngoja nimuombe MJI au ACID anisaidia unafanyaje
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,598
2,000
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.

Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and TRUTH. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa truthfull kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.

Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.

Natanguliza shukrani zangu
:A S new:
MJ1

Hujajibu swali langu, lakini yote kheri

Binafsi naamini truth ni opposite ya lies.. and whatever happened int eh past is history so if one tell me or ask me about the past i may chose what to say, and whatever i say will be the true history, hapo ina maana niko true

Now coming back to another one, honest, honest ni hapo unapotakiwa either ku-validate yaliyopo au yaliyopita... na hapo ndio balaa, sometimes wengi hulinda penzi kwa kusema ambacho hakitamuumiza mwenza... is that lying or cheating? i dont know

what if I emply my closet and share all my past? will i be true to you?? will that also mean i love more than the one keeping a few skeletons in teh closet?

this thread is really something:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:

whatw ere you thinking MJ1?
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,195
hapo sasa we ACID jibu maswali maana hii topic naona imenigusa sana huwa napata shida kwakweli ndo maana siku izi naona kama mapenzi mchezo wa kuigiza vile

will that also mean i love more than the one keeping a few skeletons in teh closet?
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
I agree with you sweetheart but there is a situation when the true love do exist....but you just have to hide something to save the present joy....... nlikuwa natizama movie moja where a man was once an armed robber and a lady a call girl......... a man decided not to tell but the lady decided to tell......it just ended right there.......but something similar happened to a very close friend of mine and bahati mbaya alipotell, mwenzi wake alilichukulia kama SI Unit....kila akikosea anarefer
Mjukuu ni kweli some people will refer lile kosa mtu analokuwa ametenda pindi wanapogombana lakini je hiding the truth from your loved one is it worth it?
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
:A S new:
MJ1

Hujajibu swali langu, lakini yote kheri

Binafsi naamini truth ni opposite ya lies.. and whatever happened int eh past is history so if one tell me or ask me about the past i may chose what to say, and whatever i say will be the true history, hapo ina maana niko true

Now coming back to another one, honest, honest ni hapo unapotakiwa either ku-validate yaliyopo au yaliyopita... na hapo ndio balaa, sometimes wengi hulinda penzi kwa kusema ambacho hakitamuumiza mwenza... is that lying or cheating? i dont know

what if I emply my closet and share all my past? will i be true to you?? will that also mean i love more than the one keeping a few skeletons in teh closet?

this thread is really something:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:

whatw ere you thinking MJ1?
Cousin u just nailed it
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom