Sijui nimeamkaje tu leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui nimeamkaje tu leo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by St. Paka Mweusi, Dec 13, 2010.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Msaada tafadhali wakuu,maana toka kuche siku ya leo najiuliza na sijapata jibu,hivi inakuwaje inaonekana ni jambo la kawaida pale baba anapokuwa na umri mkubwa kushinda mama inaonekana kawaida lakini ukigeuza shilingi inakuwa ni kama kosa.Nimejaribu kuchunguza na kuona kuwa ikitokea kaserengeti boy kakimfuata mtu aliyekazidi umri basi mara nyingi huwa kanatolewa mbio na kasipoangalia hata makofi hupata lakini kwa vibinti wawezakuta kina miaka 20 lakini kinatoka na mtu wa miaka zaidi ya 50 na inaonekana kawaida,hii iko vipi hasa kihisia kwa wanamama?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,346
  Trophy Points: 280
  Una hangover za jana
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Situmii kilevi cha aina yeyote mkuu.
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Its normal siku hizi, angalia zaidi utaone the other side of the coin is very much common
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Yap uko sawa kabisa lakini kwa nilivyoona mimi ,kwa upande wa wamama kidogo asilimia kubwa wanajitahidi kwenda na watu wa age zao sio kwa akina baba wao huwa ni kuchakachua tu.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu wanaume/vijana wengine wanachelewa au wanakua sio mature kabisa!Kwahiyo mama anakua anahisi kama anatembea na mtoto wake vile!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mimi hata nikikuzidi mwaka mmoja......nakutimulia kulee
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Basi ulipodondokea napapata....................... Maana kwa wanaume ni eidha alcohol, fegi.............na.............na............... Sasa kama haupo kwenye alcohol umebakisha Fegi............na...............na............ KWA KIHAYA SIJUI WANAIITAJE HII KITU
   
 9. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  inawezekana mkuu jana umejionea mtu mzima akiopoa mtoto wako uliyemtegemea tena kiulaini kabisa, hivyo usiwe na huzuni sana kwani maisha ya wasichana siku hizi hawajali kabisa mapenzi zaidi ya pesa, hivyo tafakali sana
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhhh kwakeli
  Paka umeamkia upande wa kulia wa kitanda ..mmmhhh imekuwaje umesahau???
  au jana usiku ulikuwa busy sana lol

  nway ... mi naoana ni kama traditional vile tangu zamani mabinti wanaozeshwa kwa watu walio na umri mkubwa....
  na kingine akili za wasicha zinakuwa haraka kuliko za vijana ndo maana ni vema kijana akiwa mkubwa kuliko msichana..( si vijana wote)

  kwa dunia yetu hii ya sasa mambo mengi ambayo hayana mbele wala nyuma yanafanyika..
  kwa hiyo wala sishangai nikiona mama mtu mzima yuko na kija sawa na mtoto wake...

  AD.
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hilo ndio linalonitatiza mama,ningependa kujua tu, sababu ni nini hasa?Au inawezekana mwanaume akiwa na umri mdoga anakuwa hawezi?
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Umesomeka mama,mimi huku bado niko katika tafakari.....!
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mbona mm ninampelekea moto jimama linalonizidi miaka 20? na linatia adabu hata halitulii nyumbani kwake kabisa...tena mi baada ya kuona wazee wanachemka na vibinti, na mimi nimeamua nichemke na mijimama...aise ni mitamu hiyo usiseme.....inajua kulea na kutunza kuliko hivi visichana vidogovidogo ambavyo havijajua dunia ilivyo...
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhh kwa kweli yangu macho...
  kwa mimi sioni raha yeyote kwani mi ni msicha na sintoelewa ni raha gani mnapata..
  lakini kama we unafurahi na inakuongezea siku za maisha safi...
  lakini miaka 20mmmhhhhh ndugu yangu umeniacha hoi binta ban hapo..
  kwa kweli sikubaliani kabisa na wazee kula vibinti vidogo msichana yeyote chini ya miaka 18 mi na mwesabia huyo ni mtoto..
  mmmhhhhh sasa inabidi nikupige swali ..hahahah lol
  kuna raha gani ????maana sielewi kabisa yaani..
  ukiwa naye kitandani unawaza nini ( eg. huyu ni umri sawa na mama mdogo wangu au unawaza nini tu)??
   
 15. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  tukiwa kiwanjani mawazo yote ya umri yanafutika, ni burudani kwa kwenda mbele....unajua mapenzi ukichanganya na uzoefu yanakuwa bomba sana...just imagine jimama lina experience ya kutosha halafu na mm nina maujanja ya kutosha...hapo si balaaa? kuna muda jimama linalalamika kwa maraha utadhani mtoto wa chekechea...we acha tu...mwenzio napata raha!!!
  hata hamu ya vibinti vidogovodogo naona inaanza kupungua...nimegundua mapenzi hayaangalii umri...
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhh kwakeli umenijibu na zaidi ..
  asante..
  hapo ilipoweka green itabidi unisamehe kidogo nimejaribu ku imagine lakini haiingii samahaini lol
  ni kweli mapenzi hayaangalii umri lakini umri unaangalia mapenzi..
  haya u know at the end of the day u have to be happy if that is what make u happy great go for it...
  lakini mie nahuzunika vijana wote wanaenda kwa wamama.. na mi wa baba wakubwa sana siwataki lol
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Usihuzunike mama,mimi bado nipo na sitaenda kwa wamama ng`o.
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ndo maana nakupendaga bure mzee wangu:kiss:
  hahahah lol
   
 19. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  huna haja ya kuhuzunika maana naweza nikaacha kule nikaja kwako...yaani haya mambo na ma-expereince niliyoyapata huko nikakupa wewe...it is just kuniPM tu.. wala haitakuumiza kichwa...I can change my mind just to help you...
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahah lol..
  mmmmhhh we mi nakuogopa..
  mi staili za wa mama sitaki wala..
  mi nataka zakwangu lol
  na mi binafsi napenda kula loli pop yangu mwenyewe sitaki kuchangia kabisa..maana haiishagi sukari hiyo..
  mmmmmhhh we uwende kula limama mie uniletee mabaki sitaki ...
  utanisamehe bure mie...
  mie naona hujapata msicha ambao yuko umri sana na weye akakupa yale ya uvunguni mpaka ukasahau jimama..
  wako wengi sana.. tembea uone lakini hakikika unakula pipi na mfuko wakee..
  samahni ka nimekukwaza..

  AD..
   
Loading...