Nashukuru Nimepata mpenzi

Bangusilo

Senior Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
136
Likes
0
Points
33

Bangusilo

Senior Member
Joined Feb 7, 2008
136 0 33
Ndugu wana JF

Wengi nadhani mliliona tangazo hili

"natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam
"


Baada kusota benchi kwa miezi 8 bila timu wala kuchakachua, nakuamua kutafuta mpezi kwenye forums hii napenda kuwajulisha kuwa nimempata kupitia hapa hapa, bahati nzuri pia alikuwa rafiki ya girlfriend wangu tulieachana, na ameniahidi kuwa atanipa mapenzi motomoto,
Hasa ukizingatia alikuwa nae alikuwa broken heart like me.

i.e. Society of Broken Hearts(SOB)

Idumu JF
With thanks
Wenu
Bangu
 

Forum statistics

Threads 1,203,319
Members 456,713
Posts 28,109,000