Ngono/Tendo la Ndoa.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,021
156,487
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
 
Katika hili sina muda maalumu.........iwe mchana....usiku........... lakini huwa nafanya kwa kificho na hii ni kwa sababu maadili ya kitanzania hayaruhusu kufanya hadharani..........inahitaji FARAGHA
 
Mungu alivyumba usiku na mchana alikuwa na maana yake!si ngono tu inayotendwa usiku kuna mambo mengi sana,ukiingia ktk vitabu vya dini tendo hilo ni takatifu,na hufanywa na watu walio kuwa tayari ktk shida na raha etc,so kuna mazingira ambayo unaweza kufanya mchana na mazingira mengine huwezi kufanya hivyo,ndio maana Adam alipoitwa na Mungu akagundua yu uchi hivyo akajificha!
 
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?

Wale ma pornsters wanatenda hadharani tena na migun o kibao
Hawo ni wanaakili za wanyama?
 
Tendo hili latendwa wakati wowote kaka iwe gizani au kwenye mwanga. Miguno dada zetu wa cku ni ladhima hiyo haiepukiki, watu wengine wakickia unategemea nini hapo?!!! Hiyo ni raha ya wawili bulaza.

kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
 
Kumbe na Neno la bwana unalijua? sikulitambua hilo kabla
Mungu alivyumba usiku na mchana alikuwa na maana yake!si ngono tu inayotendwa usiku kuna mambo mengi sana,ukiingia ktk vitabu vya dini tendo hilo ni takatifu,na hufanywa na watu walio kuwa tayari ktk shida na raha etc,so kuna mazingira ambayo unaweza kufanya mchana na mazingira mengine huwezi kufanya hivyo,ndio maana Adam alipoitwa na Mungu akagundua yu uchi hivyo akajificha!
 
Mi nainjoi zaidi gemu nikipigia kwenye mapori mchana kweupeeee.
Kila demu ninayempenda huwa nampeleka kwenye kisiwa cha Bongoyo, kuna kijimsitu fulani hivi, nikienda kule ni kumgaragara kila style, mwenyewe anabaki na memories za kufa mtu ambazo kamwe hazitaweza kufutika maishani mwake
 
katika hili sina muda maalumu.........iwe mchana....usiku........... Lakini huwa nafanya kwa kificho na hii ni kwa sababu maadili ya kitanzania hayaruhusu kufanya hadharani..........inahitaji faragha

si ya kitanzania tuu hata ulaya hawafanyi hadharani, linahitaji utulivu kwani hujawahi sikia kesi za wazungu wakishitakiana kwa sababu jirani yao anawasumbua kwa sababu akiwa katika majambozi anapiga kelele kiasi kwamba jirani zake wanakosa usingizi? Zingekuwa kelele za disco au kitu kingine wangeweza kuvumilia lakini kelele za mapenzi kama mtu umzima huwezi kuvumilia.
 
Ukisikia zile kelele lazima udate kama huna mwenzi
si ya kitanzania tuu hata ulaya hawafanyi hadharani, linahitaji utulivu kwani hujawahi sikia kesi za wazungu wakishitakiana kwa sababu jirani yao anawasumbua kwa sababu akiwa katika majambozi anapiga kelele kiasi kwamba jirani zake wanakosa usingizi? Zingekuwa kelele za disco au kitu kingine wangeweza kuvumilia lakini kelele za mapenzi kama mtu umzima huwezi kuvumilia.
 
Mi nainjoi zaidi gemu nikipigia kwenye mapori mchana kweupeeee.
Kila demu ninayempenda huwa nampeleka kwenye kisiwa cha Bongoyo, kuna kijimsitu fulani hivi, nikienda kule ni kumgaragara kila style, mwenyewe anabaki na memories za kufa mtu ambazo kamwe hazitaweza kufutika maishani mwake

Toba Yarabi!!!!, makubwa hayo, hapo kwenye kiji msitu pasije pakaa na paparazi, chunga isije ikawa siku mmoja tuka ona picha zako hapa JF, siku hizi kuna WIKILEAKS babu!!!!!!!!!
 
Wale ma pornsters wanatenda hadharani tena na migun o kibao
Hawo ni wanaakili za wanyama?

Ni abuse ya hilo tendo. Unaposema PORNSTAR huoni tayari unamaanisha mchezo kama mieleka au ngumi za kulipwa? It was not meant for that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom