Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mim huwa ni mpenz wa gazet la Mwananch, kuna kipengele cha kutafuta marafiki na wachumba. Nimefanya simpla research nikagundua wengi wao wanaotoa no zao kwenye magazet kwa ajil ya kutafuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hebu fikiria kwamba, umegundua kwamba, mumeo ameishiwa kabisa nguvu za kiume. Bado umri wenu ni ule wa kati, mnahitaji bado kushiriki jambo hilo au pengine mnahitaji hata watoto bado. Je, kama ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Wakuu Wazuru wana majina kiboko, hebu tazama hili Ntombekhaya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je? yanazidisha upendo na kuimarisha mahusiano au ni kinyume chake.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ifuatayo ni sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua:- "Baba naiombea chupi ya mume wangu anapotoka katika nyumba hii, ivaliwe hapa na kuvuliwa hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine iwe ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Pengine ni utamaduni au nature, lakini ni mara chache sana mwanamke anaweza kumtamkia mwanaume 'nakupenda, naomba tu wapenzi' hasa kama hawajazoeana sana. Pia mwanamke anapokuwa na hamu ya mchezo...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
MKE U Kati ya mambo muhimu ambayo binadamu yeyote huota siku moja akutane nayo ni siku ya harusi kama kaka Gilbert Mongi na dada Bertha Mlay wakati ya sherehe ya harusi yao Istana jijini Dar es...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna wanawake wengi sana ambao wanagombea kupendwa, au wanajipendekeza ili wapendwe. Hawa ni wanawake ambao wana kasoro kubwa kwenye mifumo yao ya kufikiri au ufahamu. Unaweza kukuta mwanamke...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hebu tuchukulie kwamba, umegundulika kuwa una maradhi ya zinaa. Inaweza kuwa kaswende, kisonono, pangusa au hata ukimwi. Halafu tuchukulie kwamba una mchumba, mpenzi, mke ama mume. Halafu una...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kuna ukweli hapa au???
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje mdada akiolewa tu kama alikuwa na marafiki wakiume wengi na ndo walikuwa karibu kuliko wadada mara nyingi wanapungua kama c kuisha kabisa,ila mwanaume akioa tena wadada ndo wanazidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wakati huko Berlin, nchini Ujerumani, kulikuwa na onesho ambapo wanawake walikuwa wakionesha maungo yao kwa malipo. Wanawake hao walikuwa wakionesha maungo hayo kwa wanaume ambao wanaamini...
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Sagacity...When they introduced this forum..it was 4 good to go but there's these group of insane ****** who think ths forum is like their damn facebook walls just postn bull shits all day...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Hebu tuchukulie kwamba, umeoa hivi karibuni, kama miezi sita tu iliyopita. Lakini unapokea taarifa za kuaminika kwamba, huyo mkeo ni mke wa mtu. Unaambiwa kwamba, aliolewa na kukorofishana na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
mambo?samahani wana jf naomba mnisaidie na hili...mie nina boyfriend wangu ambae tumekaa wote karibu 22miaka miwili..slakini katika hii miaka kumekua na na matatizo ya hapa na pale..kuna watu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom