Jamani huyu mpenzi ananipenda au la!

Ilonza

Senior Member
Jan 11, 2011
119
13
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini. Very sereous nisaidieni kwani huyu msichana ninampenda sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom