**Ukiacha mapenzi ,urafiki nao una wivu ila tunauficha ?*** | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

**Ukiacha mapenzi ,urafiki nao una wivu ila tunauficha ?***

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The only, Aug 12, 2011.

1. The only

The only JF-Expert Member

#1
Aug 12, 2011
Joined: May 19, 2011
Messages: 1,423
Likes Received: 944
Trophy Points: 280
asalam aleikhum ! asee ni hiden fact kwamba wengi tumezoea kuwa wivu ni mali ya mapenzi yamhusuyo mwanaume na mwanamke waliokatika mahusiano ya mapenzi lakini tafakari situation hizi,i will make you feel what u neva recognized

1) rafiki yako wa jinsia tofauti ambaye ni kampani yako kuu ,hadi watu wakikuona wanakuuliza umemuacha wapi na hamna mahusiano yoyote
anapo kuomba ukamsaidie kuchagua zawadi ya mpenzi wake mpya ? au amefall deep kiasi hawezi hata kutoka na ww wako bize na m2 wake . kwa kuzuga utajifanya its ok

2) mfano mko shule rafiki yako wa jinsia moja anaambiwa class ataje marafiki zake wawili ambaye ungeulizwa wewe mmoja ungemtaja yeye ,kisha yeye ana wataja wawili wewe ukiwa haumo. huwezi mmaindi kwani utaonekana zuzu ila duuh

3)mshikaji wako wa kiukweli anakuita mkutane mpige maji afu anakutambulisha rafiki yake mpya kazini ,baada ya utambulisho wanaanza story
za kikazi tuu wakiziongea very sensitive usizozijua mfano wewe muhasibu afu wao ni masurveya ,afu kila 5 minutes wanagonga cheers
,utajifanya bize na simu kimoyomoyo umemaind ila huwez xpress sababu ni unnatural na gay inachukuliwa
4) mko club na rafiki wa ukwel afu wana toke washkaji zake walisoma nae primary wana imba kawimbo ka utoto nusu saa we umetoa macho

ni ipi imewahi kukuta ? je does this feeling abnormal .

2. arabianfalcon

arabianfalcon JF-Expert Member

#2
Aug 12, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 2,292
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
waaleikum Salaam.....

3. Gaijin

Gaijin JF-Expert Member

#3
Aug 12, 2011
Joined: Aug 21, 2007
Messages: 11,850
Likes Received: 57
Trophy Points: 0
Mimi namjua msichana mmoja ana wivu kwa rafiki yake wa kike mpaka anakera!

Yaani huyo rafiki yake akimnunulia mtu mwengine kitu sare basi atanuna na hatamsemesha hata mwezi!

4. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#4
Aug 12, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
duh mie pia nina rafiki angu ni mwanaume, embu ngoja nifikirie, nitarudi

5. The only

The only JF-Expert Member

#5
Aug 12, 2011
Joined: May 19, 2011
Messages: 1,423
Likes Received: 944
Trophy Points: 280
asalam aleikhum ! asee ni hiden fact kwamba wengi tumezoea kuwa wivu ni mali ya mapenzi yamhusuyo mwanaume na mwanamke waliokatika mahusiano ya mapenzi lakini tafakari situation hizi,i will make you feel what u neva recognized

1) rafiki yako wa jinsia tofauti ambaye ni kampani yako kuu ,hadi watu wakikuona wanakuuliza umemuacha wapi na hamna mahusiano yoyote
anapo kuomba ukamsaidie kuchagua zawadi ya mpenzi wake mpya ? au amefall deep kiasi hawezi hata kutoka na ww wako bize na m2 wake .  kwa kuzuga utajifanya its ok

2) mfano mko shule rafiki yako wa jinsia moja anaambiwa class ataje marafiki zake wawili ambaye ungeulizwa wewe mmoja ungemtaja yeye ,kisha yeye ana wataja wawili wewe ukiwa haumo. huwezi mmaindi kwani utaonekana zuzu ila duuh

3)mshikaji wako wa kiukweli anakuita mkutane mpige maji afu anakutambulisha rafiki yake mpya kazini ,baada ya utambulisho wanaanza story
za kikazi tuu wakiziongea very sensitive usizozijua mfano wewe muhasibu afu wao ni masurveya ,afu kila 5 minutes wanagonga cheers
,utajifanya bize na simu kimoyomoyo umemaind ila huwez xpress sababu ni unnatural na gay inachukuliwa
4) mko club na rafiki wa ukwel afu wana toke washkaji zake walisoma nae primary wana imba kawimbo ka utoto nusu saa we umetoa macho

ni ipi imewahi kukuta ? je does this feeling abnormal .

6. bombu

bombu JF-Expert Member

#6
Aug 12, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 1,134
Likes Received: 35
Trophy Points: 145
its not abnormal hasa kwa sie ladies. Mie nakumbuka nimewahi kununiwa na classmate (A-Level) wangu kwa sababu rafiki yake tulisoma naye Primary, sasa mie nilipohamia kwa shule hiyo nikawakuta wakiwa marafiki, yule rafiki wa classmate akanipokea kwa bashasha kwa sababu pia tulikuwa majirani kule nyumbani, tukawa marafiki tukikutana tunapiga story za home na long time ago. Classmate si akawa na wivu hadi kunichukia mie. Its a fact of course and natural, sema tunafanya kuipotezea tuu

7. m

mjasiria JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 3,790
Likes Received: 220
Trophy Points: 160
Hebu andika vizuri kwanza, halafu nitarudi

Loading...