Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ANA MIMBA JAMANI NA NYIE WACHEZAJI SHOW REKEBISHEN MATUMBO YENU YAWE HATA ATTRACTIVE JAMANI SIJUI ANA UZAZI HUYU NA NYIE WAMILKI MSIRUHUSU WENYE MIMBA KUCHEZA MNAWAAIBISHA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa tamaduni hizi za sasa za kimagharibi ,si ajabu ukakuta watu wasiokuwa wapenzi wana hug/busiana hadharani.Je hii ni sahihi kwetu waafrika kufanya haya?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I have small-tiny-mini questions. Hivi, kabla ya kupata mtoto, mliamua "sasa kifuatacho, tutengeneze mtoto" au ilikua tu ni ajali ya starehe yaani "bahati mbaya"? Kama mlifanya uamuzi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kwanini unapotafuta mchumba wa kike lazima akuulizie mshahara wako? Kwani kuna uhusiano kati ya mshahara na mapenzi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mtu aliwahi kuniambia,kama umemtokea mwanamke kwa muda aafu akawa anazingua punguza mawacliano naye.kama alikuwa anazuga basi atakutafuta,lakini kama alimaanisha na yeye anakusahau! hii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii hali imetokea maeneo ya Muheza bibi harusi alishikwa uchungu kanisani na kujifungua wkt ibada ikiendelea. Mwandishi Wetu, Muheza BIBI harusi aliyefahamika kwa jina la Mariam Shabani...
2 Reactions
67 Replies
10K Views
Amini,usiamin msagaj yupo juu kwa kutongoza na kuonyesha care kuliko mwanaume mwenyewe
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Masturbating man reported for 'moaning louder than an animal'A man has been reported to the authorities by his neighbours in Malmö after they tired of his noisy masturbation habits, which they...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello friends i am missing him.and u friends whom do u miss this furahi day?
2 Reactions
90 Replies
5K Views
ndugu zanguni ma greater thinkers,napenda kuwapongeza kwa kazi yenu nzuri hapaa jamvini.samani kama nitakuwa nime mkwanza mtu au nime weka post sehemu sio ila naamini hapa ni sehemu ya marafiki...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello jf!ebana,yan me kati ya wasichana wangu wote nlio na uhusiano nao,anae nichanganya zaidi ni kicheche,yani huyu hata 2kiznguana kidogo bac me nitajishusha yaishe,huyu ndo nina hisia nae,huyu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Title yahusika ! song of the day by Jide, i just dedicate to Jf members !
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wandugu mwenzenu nimetokea kumzimia mdada mmoja vibaya.na yeye anajua hilo,sasa celewi kwa upande wake ni hivyo au la..tatizo lingne ni kwamba yuko mbal na ninapoish yaan mkoa mwingne.na nikimtaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
caught live on radio cheating
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar JF! Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri. Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kuwa na stress kwa kuwa anakujali na wewe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumaini wana JF wote muwazima. Mojawapo ya mambo yanayonivutia katika maisha ni kusafiri nchi, ama sehemu mbalimbali na kuiona dunia na kujifunza mengi. Vilevile napendelea sana mambo ya...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
Wana jamvini ripoti pokeeni. Kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushauri wenu-yote yenye mitazamo tofauti, kwa kweli imeniwezesha kujitazama upya kama tatizo na si kumwangalia mtu mwingine. UAMUZI...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa! Leo naomba niwaulize swali.Umekutana na mwanamke/mwanaume ambae aliwahi kua kwenye ndoa na anakwambia bila maelezo ya ziada!Baada ya kua karibu sana unaona uulize kidogo...
0 Reactions
206 Replies
17K Views
Nilikua naangalia kipindi cha wanawake live wiki hii chanel 5, nikakutana na maneno kuwa mashuga mami yanapofanya mapenzi na serengeti boy wanawanyonya damu kwa sababu ya tofauti ya umri wao...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom