Naombeni ushauri wa kufuata

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
mimi ninakaa na kaka yangu na shem ambaye pia tunaishi na mtoto wa dada yake (huyo shem) ambaye mimi nina mahusiano naye ya mapenzi siri now ni kama mwaka 1 umeshafika,nileinda chuo kusoma but nimerudi nimemkuta ana mahusiano ya siri na mtu mwingine lakini kwa jinsi ninavyompenda siwez i kumuacha na hatoki kwenye mawazo yangu kiasi hata sili wala silali vizuri naye anajua kama nampenda but kwenye simu yake nakuta msg za ajabu but naogopa kumuuliza coz tutakwaruzana na mimi sipendi coz naumia ila pia sitaki aendelee kuutesa moyo wangu,niambieni nifanye nini ili nipunguze au hata niache kumpenda coz ananiumiza sana
nitafurahi nikipata ushauri kutoka kwa mabinti kipindi nipo chuo tuligombana but tukarudiabna na kupendana sana but now hali ndiyo imefikia kama ilipo piz naombeni ushauri wenu thanks
 
Samahani mkuu nimepita tu sikujua ulilenga kupata ushauri wa mabinti.. Langu moja tu kwamba huo ulokuwa ukiuendelea ni UZINZI.
 
Kumuacha hutaki sababu unampenda!!
Kumuuliza huwezi sababu unaogopa mtakorofishana!!

Kilichobaki ni mvumilie ...sasa utafanyaje maana option mbili ambazo ni muhimu huzitaki!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
bahati mbaya mimi ni mmama.....ningekuwa binti ningekushauri.....
 
Naona kama unaitesa nafsi yako! na huyo bint keshajua kama unampenda sasa utaiona joto ya jiwe, mwanamme mzima huoni haya kusema Naogopa kumuliza? inamana ukotayari kula na mwenzio? na kwenye cm yake unatafuta nini? sasa basi usimchunguze kuku atakushinda kula wewe muache akusugue roho yakoiko siku uta sema basi tu, na huna lolote unaipata ya mteremko ndio mana hutaki kumuachaa ,mtoto wa kiume wewe jikaze fanya mamuzi kama mwanaume.
 
thanks lizy kwa ushauri wako
preta wewe ndo mzuri hasaa coz unaexperiece ya kutosha pliz niambie atawezaje kutoka kwenye fikra zangu na kumuacha kabisa au niambie chochote kile ambacho unahisi kwa mimi ni sahihi kujua thanx in regards
 
arabian falcon nimekuelewa bt hujanipa ushauri either nimuache au niendelee naye tatizo cyo kwamba nampenda mteremko bt moyo ndo umependa
 
@nyani roho inaniuma nikimuona yuko anafuraha na m2 mwingne,ninachotamani ni kumuacha bt naogopa kuitesa nafsi yangu,ila cwez kuendelea kuwa mtumwa wa mapenz na kunyanyaswa kifikra ni mambo gani nifanye ili atoke kabisa akilini na nisimpende tena?
 
wanawake woooooooooote umeamua kula sahani moja na ukoonwa shemejio? Heri hata kavuta mwingine cha kufanya songa mbele na hiyo TABIA MBAYA ACHA!
 
....mimi kwa ushauri wangu ningekushauri....

mimi ninakaa na kaka yangu na shem ambaye pia tunaishi na mtoto wa dada yake (huyo shem) ambaye mimi nina mahusiano naye ya mapenzi siri now ni kama mwaka 1 umeshafika,nileinda chuo kusoma but nimerudi nimemkuta ana mahusiano ya siri na mtu mwingine lakini kwa jinsi ninavyompenda siwez i kumuacha na hatoki kwenye mawazo yangu kiasi hata sili wala silali vizuri naye anajua kama nampenda but kwenye simu yake nakuta msg za ajabu but naogopa kumuuliza coz tutakwaruzana na mimi sipendi coz naumia ila pia sitaki aendelee kuutesa moyo wangu,niambieni nifanye nini ili nipunguze au hata niache kumpenda coz ananiumiza sana
nitafurahi nikipata ushauri kutoka kwa mabinti kipindi nipo chuo tuligombana but tukarudiabna na kupendana sana but now hali ndiyo imefikia kama ilipo piz naombeni ushauri wenu thanks

...aahhh, okey, mabinti watakusaidia ushauri.
 
ook jamani mtu yeyote anaweza kunishauri siyo mbainti peke yake how can i dump this woman
 
Mbona yeye anakudump? Do the same hayo nii mapenzi gani ya kumpenda mtu ambae si mwaminifu?
 
tatizo nikisikia hata sauti yake mapigo yangu ya moyo yanaenda mbio,embu niambie nifanye vi2 gani ili niache kumpenda hata ikiwezekana nianze kumchukia thoug co sana,
 
pole wee,umependa pasipopendwa.jaribu kuji keep busy inasaidia,kwa nini uumizwe na mtu ambae hana maana?jee yupo peke yake duniani?.jiulize bila yeye huishi,hupumui,mna share pumzi?jibu ni nooo,be strong focus na maisha yako,najua ni ngumu ila jaribu kumu ignore,mwisho wa siku utaweza
 
Kila ukimuwaza au kumkumbuka lamba ndimu kisha sonya 'nyoooooooo' utamsahau na utamzalau

Back
Top Bottom