Unapenda msosi gizani au full mwanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapenda msosi gizani au full mwanga?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charger, Aug 10, 2011.

1. charger

charger JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,325
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Habari wakuu wa jamvi,
Jamani hivi watu wametofautiana sana,unajua kwanini nasema hivyo?utakuta kuna mtu yeye anapenda kulia gizani,yaani giza totoro ndio furaha yake,mwingine yeye anataka angalau candle light,mwingine anataka ale mchana kweupe!au kama ni usiku basi zitawashwa taa zote aone pilipili ilipo,ndizi,sijui ndimu,salad,avocado,maharage,mchicha si unajua wengine wanapenda mamichicha marefuuuu,wengine michicha wala hawataki ,kama watermelon basi ayabebe ayapapase huku na kule kabla ya kuendelea na maakuli.
Lakini mimi nacho jua mkono huwa haukosei mdomo ulipo au mdomo si kazi kutafuta mkono wenye chakula ulipo.
Je wewe wapenda kulia wapi?na kwanini?

2. zagalo

zagalo Senior Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Mar 5, 2009
Messages: 122
Likes Received: 15
Trophy Points: 35
maneno yote full mwanga, gizani unaeza kula kilichooza!

3. Katavi

Katavi Platinum Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,469
Likes Received: 4,128
Trophy Points: 280
Gizani kuna raha yake..

4. BADILI TABIA

BADILI TABIA JF-Expert Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 30,873
Likes Received: 6,223
Trophy Points: 280
gizani utakula konokono bure. . . !

5. charger

charger JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,325
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Zagalo full mwanga hiyo imekua photo point?

6. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
mhhhhhhhhhhhh

7. charger

charger JF-Expert Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,325
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Mkuu katavi gizani si unaweza usione meza imekaaje ukajikuta umekula umemaliza kumbe kuna matunda na wewe hukuyaona

8. charger

charger JF-Expert Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,325
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Hahaaa umenikumbusha stori flani ya darasa la tatu enzi hizo

9. mimyv

mimyv Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
giza co issue sana ila nahis usiku kuna kitu flani kinaongezeka...atakama taa zimewashwa lakini ile kitendo ya kua usiku uko njee na katemperature basi bamia inateleza safi kabisa

10. BONGOLALA

BONGOLALA JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Sep 14, 2009
Messages: 13,784
Likes Received: 2,392
Trophy Points: 280
Mwanga kwa mbaali ndio mwake!mwanga sana mtaoneana aibu

11. charger

charger JF-Expert Member

#11
Aug 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,325
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Mimyv kabamia uterezi ni shauri ya usiku au mchana kweli? au the more u chew the more uterezi?

12. charger

charger JF-Expert Member

#12
Aug 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,325
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Bongolala aibu kwenye kula inahusika kweli?

13. First Born

First Born JF-Expert Member

#13
Aug 10, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
mara nyingi ile kitu ule gizani ndo tamu bhana,, vingine vina sura mbovu kinoma so kula kwenye mwanga kuna hitaji moyo baaaaaaaaaab!!!!!!!!!!!!!

14. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#14
Aug 10, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
gizani utaonaje macho navorembua

15. Jaguar

Jaguar JF-Expert Member

#15
Aug 10, 2011
Joined: Mar 6, 2011
Messages: 3,409
Likes Received: 22
Trophy Points: 135

unauonea aibu msosi,duh!

16. First Born

First Born JF-Expert Member

#16
Aug 10, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145

kwani we unakula macho?

17. Fasouls

Fasouls JF-Expert Member

#17
Aug 10, 2011
Joined: Jun 24, 2011
Messages: 922
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Weka mambo waz bhana hapa ni 18plus mwanzo mwisho.....!

18. rigobert

rigobert Senior Member

#18
Aug 10, 2011
Joined: Jan 20, 2010
Messages: 129
Likes Received: 31
Trophy Points: 45

kwani wewe unakula sura yake?bumba macho

19. Maayo

Maayo JF-Expert Member

#19
Aug 10, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Kuwe na kamwanga bana. Gizani hapana. Unaweza kula mende ati!

20. Ngwanakilala

Ngwanakilala JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 396
Likes Received: 163
Trophy Points: 60
Mwanga fulani hivi ili nione reaction na feedback from her face. her facial expression speaks a thousand words. besides zile shanga utaziona vipi gizani? au ukimtuma glass ya maji ili umuangalie anapoenda kuileta.

Loading...