Umri gani wa kupishana kati ya watoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umri gani wa kupishana kati ya watoto?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ulimakafu, Jul 14, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi hivi ni umri/muda gani wa watoto wanaozaliwa wanastahili kupishana kati yao ili waweze kupata vizuri huduma stahiki na mpango mzima wa afya zao?Je kuzaa nako kunastahili kuzingatia umri?
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nimepishanisha miaka tano (5) kwa kila mmoja.
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,263
  Trophy Points: 280
  doooh...hapo gap kubwa sana!
  Mi napendelea 3 years...wanakua pamoja, sio wapishane sana mpaka hata hawawezi kucheza pamoja!!!
  Ni mtazamo tu..
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kwangu wamepishana miaka Miwili na nusu nafikiri ni umri mzuri sana
  Wa kwanza wakati akiwa na miaka miwili na nusu na mdogo wake ndo anazaliwa
  Wasipishane sana maana inakuwa ni issue hata kucheza pamoja
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi nawapishanisha kwa mwaka mmoja na nusu kisha napiga mimba ingine hivyo hivyo
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  We mkali mkuu,hongera.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Hii kali si utalea mpaka uzeeni.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Lengo nikuvuka dozen mkuu, kisha mama yao nampunzisha
   
 9. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mm ninaona inategemea na nyny mtafanyeje au mmepangaje
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hii ni kubwa mno maana umri wa miaka mitano ndo anazaliwa mdogo ni noma
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Murefu inategemea kweli ila hata kama ni mipangilio isizidi sana mpaka mnasahau issue ya watioto then ghafla mnapata mwingine
   
 12. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapo inategemea amezaa kwenye umri gani.

   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sawa ila kwa hv sasa ukisema umwambie mtu azae kila baada ya miaka mi5 au sita inakuwa ngumu kwan inagetemea kipato na yupo kwny hali gan wakat huo. Hvyo bas ni vizur mtu azae pale anapoona anaweza kuwamudu na kuwalea ni hvyo tuu ila wataaramu wanasema nivizur uzae kila baada ya miaka mitatu au sita ili uwe na trade nzur ya age kwa watoto ila ukifuata hvyo je maisha ya hv sasa utaweza kuvumilia. Na je wewe na mwenzio mnaumri gan?
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Murefu hapo umenena vyema
  Ila mkuu inategemea sana haya mambo na kama kwenye familia hakuna mpango wa kufanya mambo mengine ya maisha kama kusoma au kujiendekeza kielimu. Maana ukisema mzae kila baada ya miaka sita au mitano unafikiria na mwenzako pia nae ana mipango gani. Ila kwa miaka mitatu mitatu sio mbaya sana kupishana maana hapo ujiwekee na malengo yenu kama familia ni nini mnataka kufanya na mipango yenu ya kimaendeleo
   
 15. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ni kweli ila kwa mwanamke kama uliolewa una miaka my be 33 ukizaa mara moja tu basi unakuwa umri umeenda sana na ukisema unazaa baada ya miaka mitano inamaana utazaa ukiwa na miaka 39 umri ambao unatakiwa kumpuzika, ila mie nimeolewa nikiwa na miaka 21 nimezaa watoto watatu kwa kuachanisha miaka miwili miwili na sasa first born ana miaka 9,7 5 nakula raha sana.
   
 16. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  it depend na ratiba na umri.kama umechelewa hata dogo akiwa na miez mi4 unakanyaga moto mpya
   
 17. KISIRIRI

  KISIRIRI Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mimi wa kwangu wanapishana mwaka mmoja tu ili wanyanganyane uji vizuri na pia mama apumzike causd nina mpango wa kuwa na watoto wawil tu
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo una maana ushawapata wawili kwa sasa
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Inategemea mnataka kuwa na watoto wangapi. (Mtizamo wangu tu, watoto wawili watatu wanatosha ili kupata muda na nafasi ya kulea na kuhangaikia maisha, sio mnazaaa tu mpaka uzeeni. Mkizaa mapema, mnapumzika mapema. Watoto wenu wanakuwa na kufikia umri wa kujitegemea mkiwa bado hamjazeeka kabisa).

  Watoto wakiwa hawakupishana sana umri (kati ya miaka 2 na 3), inakuwa rahisi katika malezi kwani huduma zao zinalingana, mnakuwa mnatatua mataatizo na mahitaji mawili kwa wakati mmoja: vyakula, mavazi, elimu, afya...michezo n.k.

  Kuhusu umri mzuri wa kupata watoto, ni kati ya miaka 25 na 35. Mara nyengine inaweza kushuka hadi 20 kwa mwanamke na kupanda hadi 40 kwa mwanamume. Chini au zaidi ya umri huo ni hatari kwa afya, sio ya mama tu bali hata malezi yanakuwa tabu kidogo. Fikiria mnazaa na 45, mtoto wenu wa kwanza akifika 20 nyinyi mko above 60. Jaribuni tafauti kati yenu na watoto isizidi miaka 25, mfano, wewe uko na 40 mtoto yuko 15.
   
 20. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Lakini pia kumbuka kumhudumia ipasavyo....matumizi....maakuli...mavazi....starehe.....asije akaona adhabu kuolewa na wewe
   
Loading...