Natumaini wana JF wote muwazima. Mojawapo ya mambo yanayonivutia katika maisha ni kusafiri nchi, ama sehemu mbalimbali na kuiona dunia na kujifunza mengi. Vilevile napendelea sana mambo ya...
Wana jamvini ripoti pokeeni.
Kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushauri wenu-yote yenye mitazamo tofauti, kwa kweli imeniwezesha kujitazama upya kama tatizo na si kumwangalia mtu mwingine. UAMUZI...
Habari zenu wapendwa!
Leo naomba niwaulize swali.Umekutana na mwanamke/mwanaume ambae aliwahi kua kwenye ndoa na anakwambia bila maelezo ya ziada!Baada ya kua karibu sana unaona uulize kidogo...
Nilikua naangalia kipindi cha wanawake live wiki hii chanel 5,
nikakutana na maneno kuwa mashuga mami yanapofanya mapenzi na serengeti boy wanawanyonya damu
kwa sababu ya tofauti ya umri wao...
Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa...
Imepita miaka kama mitatu hivi niko katika urafiki na bibie lakini hatujawahi kuwa wote kwenye 6 x 6. Mara ya kwanza nilipanga naye lakini baada ya kupata kilaji sawasawa mi mwenyewe niliondoka...
Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake...
Ni siku ya watu wanao tumia mkono wa kushoto (mashoto or left handed).
Nakumbuka nirafiki yangu alikua akipigwa sana na mwalimu pale
alipokua anaandika kwa kutumia mkono wa kushoto,au akinyoosha...
Jana katika harakati za kutafuta mafuta na kidumu nikajikuta nakatisha maeneo ya Mwananyamala.
Kwa kweli nilicho kiona pale siku amini macho yangu kweli ni kizazi kipya au ndo hivyo watu wanapenda...
Baada ya kusimamishwa kazi mambo mengi yalikwama kiasi cha kutimuliwa kwenye nyumba nliyokuwa naishi anga za Sinza.
Mama mkwe alinibembeleza sana nikakae nyumbani kwake Tegeta ambako ana nyumba...
Wakati watu waliokuwemo kwenye ndoaa uchunguzi umeonyesha wengi wanatamani kutoka
huko kwa namna yoyote ilihali wawe huru pamoja na kutoka kuna wengine wanafikiria je nikitka
ntaweza kuolewa tena...
Pengine waweza jiuliz a kwa nini wanaume wengi hata wakutane na wanwake kama malaika wasiojua kutoka nje lakini wanashindwa kujiheshimu??je wewe ni mmja wa haka kagonjwa??
Wenye uzoefu...
Ramadhan kareem!
kama ilivyo ada watu tunapenda mambo ambayo wenzi wetu wanayapenda hasa katika suala la mapenzi.
Lakini je ushawahi kujiuliza udhaifu ulionao mwenyewe?
Haya sasa tuambiane...
mh wana jf nisaidieni..mimi naishi na mjomba wangu na yeye ndie kama mzazi wangu kwa hapa jijini,lakini nina mama yangu mzazi yupo mkoani huko na hapa jijini nasoma chuo mwaka wa pili naingia wa...
du hii migao imezidi huku arusha leo ni siku ya tatu hatujaona umeme , mafuta pia mgao shell zote zatoa mafuta kwa mgao , maji pia mgao bila umeme maji hakuna huku, chondechonde msije kuleta migao...
Nipo hapa kijiweni kama kawaida nang'arisha viatu,washkaji kama kawaida wamejaa kijiweni wakilonga kila mtu alilonalo analiwasilisha na mijadala imepamba moto hapa.Kwa kweli kijiweni kuna raha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.