Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Anold, Jul 26, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Mara nyingi haya nayasoma kwenye magazeti, ila yowe nililosikia juzi kutoka kwenye nyumba ya jirani yangu na kupelekea tuamke tukidhani kuna tukio baya limetokea vilinifanya niamini kuwa haya mambo ya kiudaku mengi ni kweli. Awali nilidhani kuwa baba yake jirani yangu ameaga dunia kwani kwa week kadhaa sasa yupo hospitalini.

  Tukio zima ni kuwa baba mwenye nyumba amebambwa live usiku wa manane kwenye chumba cha House girl akivunja amri ya sita. Bwana huyo ambaye ameajiriwa hivi karibuni kwenye taasis ya umma, alikula timing wakati mke wake amelala fofofo na kuzama kwenye chumba cha House akiwa na taulo na kufanya kile kilichokatazwa kwenye amri ya sita.

  Hata hivyo za mwizi sio lazima zifike 40 kwani mkewe alishtuka kwenda kujisaidia, hivyo alipoangaza macho hakumuona mumewe hivyo akaamua kutoka ndani ya chumba kuelekea chooni ambako hakukuwa na dalili zozote ambazo ziliashiria kuwa kuna mtu.

  Hata hivyo baada ya kusogelea chumba cha House girl alisikia kelele za kitanda hali ilimfanya mke huyo afungue mlango wa House girl huyo na kuwasha taa na kushuhudia mume wake akiwa yuko katika hatua za mwisho za kumalizia tendo.

  Vurugu zilianza hapo mama mwenye nyumba akikabiliana vikali kutaka kumuadhibu House girl huku baba akijitahidi kumzuia mama. Hata hivyo nilisikia baadaye kuwa yule House Girl ameondoka kurudi kwao, na mama mwenye nyumba ameondoka. Kwa wana jf hiki kisa kina funzo kubwa!! hata hivyo unafikiri katika hili nani anastahili lawama?

  Baba mwenye nyumba au House girl?
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  majitu mengine bana silui yakoje. unaacha sato chumbani kwako unaenda kula sato chumba kingine,tena kwa woga na mashaka. kama sio ujinga sijui nini sasa?
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Very stupid man!..avune alichopanda!
   
 4. m

  mende dume2 Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh, source ya hii habari?

   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unataka housegirl alaumiwe kwa lipi?!Yeye ndo alienda kumwamsha baba mwenye nyumba na kumvutia chumbani kwake?!

  Simlaumu housegirl kwa lolote maana inawezekana ana umri mdogo kiasi kwamba chochote anachoagizwa anafanya.Inawezekana alilazimishwa kwa vitisho vya kufukuzwa kazi ama luchongewa kwa mama mwenye nyumba ikiwa atakataa...kwa mtu mwenye shida na hiyo kazi na hajui wapi apate nyingine ni ngumu kushinda majaribu ya aina hiyo.

  Kwahiyo lawama nampa huyo mzee asiye na haya hata chembe.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Anold na usione ajabu hio ndoa haifi.... INAUMA.... But ndio ukweli....
  Hapa genuinely nimeshindwa la ku COMMENT... I just wish huyo mama
  angekua na enough guts za kuondoka kimya kimya badala ya kupiga
  kelele na kuwapa faida majirani ambao mara nyingi hufurahia problems
  za wanandoa.... wataongea mtaa mzima! Yaani.... Dah!
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Ashadii unadhani aliamua kupiga mayowe kunufaisha majirani, sidhani! Hicho kitendo kinashtua na kuchanganya akili saana. Na kila mmoja wetu anaweza ku-react tofauti! Hii aibu ni ya mume na mke pamoja, sema tu ndo hivo mama wa watu pengine alishindwa kuhimili....
   
 8. A

  Anold JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Ni kweli maana pale kilichokuwa kinaendelea ni aibu ya wazi, maana hata watoto walishuhudia lile jambo nafikiri wakati mwingine kuna haja ya kutafuta namna nzuri ya kukabiliana na vitu vya nmna hiyo.
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  NAJUA bht.... Ndio maana nikasema I just wish.....
   
 10. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Wote hawana kosa kama walifurahia tendo na kama h/girl siyo minor na kulikuwa na makubaliano, hawa ni binadamu wanastaili kumegeana kama ni mapenzi ya kweli.
  Mama anambana h/girl asimegwe na mtu yeyote, kazi analundikiwa kibao, mshahara haueleweki, h/girl ni wa kwanza kuamka na wa mwisho kulala, sasa kama baba amempenda ni haki yake kufurahia kamchezo ka baba.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Najua... na naelewa kelele ilikua more kua kalala na binti wandi, akiwa yeye yupo, kitu ambacho hakutarajia.... INAUMA Kweli yaani... I feel for her...
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wanaume na ngono dah?
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hili game lina mapito mbaya kabisa, hapo unakuta kabla hamjalala ulimpa haki yake, utabakia tu kujiliza bila majibu kwa kitendo kilichotokea, hili game limekuwa la hovyo kabisa.
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  kuona kwa macho bora usikie.......wanaume wengine bana haya sasa mpaka watoto wameshudia ufuska wake.....watoto watakosa kumheshimu angemalizia tamaa yake huko mtaani kama wafanyavyo wakware wenzie
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hadithi hii inatufundisha nini?
   
 16. S

  Shingo Senior Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hadithi hii inatufundisha kuwa Mama mwenye nyumba alikuwa amejisahau mno. Kiasi kwamba anauchapa usingizi bila kujali kuwa mwenzie hajala na analala na njaa. Sasa kwa kuwa chakula hakipatikani nyumbani, katoka kufuata makombo jalalani, halafu yule aliyetakiwa kumpa chakula anaenda kumshambulia kwa kula makombo.

  Huyo mwanaume alitumia resources zake nyingi kuoa, lakini mke anamtelekeza kitandani!! Hii Tragedy iko kwenye karibu asilimia 90 ya ndoa!! Kina mama wana-uchapa usingizi huku kina baba wanahesabu kenchi za nyumba zao kwa kukosa chakula ya mama.

  Kumlaumu yule baba haisaidii, angalia picha nzima ilikuwaje? Beki 2 naye mtu ati, akiona nafasi iliyoachwa wazi kwa nini asijaze?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Sijui mimi nimezaliwa tofauti au ni vipi?
  Sijawahi kutamani house girl wa home kabisa....
  Hao housegirl wa nyumba zingine,those days za utoto....
   
 18. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  gonga ngozi kokote lkn sio home kwa baki3 jamani, ni kudhalilishana tu hapo.
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,719
  Trophy Points: 280
  Huo ni udhalilishaji wa hali ya juu. Na ni dharau pia. Wote baba na huyo H/gilr hawana adabu. Suala la kusema H/gilr ni mdogo mimi nalipinga kwani hata sisi tulipitia udogo na tumeona wale waliokuwa design za huyo housegilr (wagawaji hovyo) tabia zao chafu azikukoma baada ya kukua waliendela kuwa na tabia hiyo hiyo. Kuwa mdogo si ticketi ya kutembea hovyo busara uanza toka utotoni. Na nachelea kusema kuwa hayo ni makubaliano kwani huyo bwana hawezi kumbaka housegirl wakati mke yuko next room. Afu nyie wababa mnajipa moyo kuwa hao ma housegilr wako safe kumbe kuna wengine walikuwa wanauza pombe huko kwao ambako ukimwi unashika kasi. Kwa kweli tutauana sana na tabia za tamaa za hawa wanaume.

  Kuna ndugu yangu yeye ananambia anawapima ma housegirl wake wote anaowaajili; tena si kwa siri anawapa counselling na kuwa convince kupima. Nilikuwa nampinga sana kuwa ni kinyume cha haki za binadamu. Now I begin to understand! Maana kuna wanaotembea na baba wenye nyumba na kuna wanaotembea na watoto wa kiume wa familia na kuna wanaowabaka watoto wadogo wa kiume. Kazi kweli kweli. Wanangu wakikua kidogo tu nitakuwa naishi kama ulaya sitaki watu nisiowafahamu ndani kwangu. Ntafanya kazi mwenyewe na kuajiri mtu wa kuja week ends kufanya usafi general.
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Hapo ndani tu na ww mwenyewe upo anafanya hivo! Mbali na upeo wa macho yako jamani si balaa?Hii taasisi jamani.....
   
Loading...