Kapigwa kibuti........ anamlilia aliependwa!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Nawasalimu wakuu!!

Kweli Mapenzi mikasa!!!

kuna jamaa yamemkuta jamani,

msela alikuwa na demu (muda siujui) lakini aliachwa na demu kwani huyo dada alitokea kumpenda rafiki yangu,

kiukweli naweza sema jamaa alikuwa kajiachia jumla kwani inavyoonekana kwa sasa yuko kwenye hali mbaya sana, yaani full kulalamika na machozi juu!!! Mbaya zaidi anamlalamikia jamaa aliependwa kwa kumtaka aamue kumwachia kwani vinginevyo anaweza hata ajiue kwa kile anachokiita kuwa haoni sababu ya kuishi bila huyo dada!!!

jamani!!

hii inakuaje?

1. Kama demu aliamua kumwacha hata kama aliependwa akiamua kumpiga chini huyu demu mapenzi yatakuwepo kwake tena?

2. Amejaribu kushauriwa kuwa hata kama jamaa akiamua kumwacha demu sio rahisi kurudi kwake, sanasana atafall kwa mwingine wa tatu lakini haelewi.

MMU, wataalam wa mapenzi, huyu jamaa tumshaurije?

source: 1st Born's friend(mpenzi wa demu wa sasa)

Au ni wewe?

hehehehehehehe!!! Mambo mpenzi, nisalimie kwanza,
Mi niko kwenye faraja asikwambie mtu,
kwani mi nitaweza kukusaliti wewe bibie?
Au ulishawahi kumpiga mtu chini kabla yangu?

hehehehehehehe!!! Mambo mpenzi, nisalimie kwanza,
mi niko kwenye faraja asikwambie mtu,
kwani mi nitaweza kukusaliti wewe bibie?
Au ulishawahi kumpiga mtu chini kabla yangu?
mmmmmmmmmmh

Mpe pole mwenzio,lakini ajue kuna kupendwa na kukataliwa sasa azoweee hali iyo mbona anajifanya kama huyo mwanamke kazaliwa kwa ajili yake..?

Nawasalimu wakuu!!

Kweli Mapenzi mikasa!!!

kuna jamaa yamemkuta jamani,

msela alikuwa na demu (muda siujui) lakini aliachwa na demu kwani huyo dada alitokea kumpenda rafiki yangu,

kiukweli naweza sema jamaa alikuwa kajiachia jumla kwani inavyoonekana kwa sasa yuko kwenye hali mbaya sana, yaani full kulalamika na machozi juu!!! Mbaya zaidi anamlalamikia jamaa aliependwa kwa kumtaka aamue kumwachia kwani vinginevyo anaweza hata ajiue kwa kile anachokiita kuwa haoni sababu ya kuishi bila huyo dada!!!

jamani!!

hii inakuaje?

1. Kama demu aliamua kumwacha hata kama aliependwa akiamua kumpiga chini huyu demu mapenzi yatakuwepo kwake tena?

2. Amejaribu kushauriwa kuwa hata kama jamaa akiamua kumwacha demu sio rahisi kurudi kwake, sanasana atafall kwa mwingine wa tatu lakini haelewi.

MMU, wataalam wa mapenzi, huyu jamaa tumshaurije?

source: 1st Born's friend(mpenzi wa demu wa sasa)

Hapo kwenye red....Na kwa umri wangu huu...huyo kijana si riziki!!

Msaidie mwenzio kwa kumpatia dawa fulani inaitwa cynide au warfarin....Atapumzika vizuri tu na kumsahau huyo binti!

ni chemical au ya diviner priest?

Unaweza kupata majibu hapa chini,

http://en.wikipedia.org/wiki/

http://en.wikipedia.org/wiki/Warfarin

thanks mkuu.

Ajitundike fasta, aache kutupotezea muda tuna masuala ya msingi kushughulikia.

Na kama ni wewe, ushauri ni huohuo Babu DC pia ametoa zana kabisaaa

hahahahahaha!!! Ila ujue inauma?

Sasa hapo kinachouma nini? Kwani kama binti kaamua kwenda kwa wengine kahama na rasilimali zote za huyo chali?

Mtu ulikutana naye akiwa na meno yake 32, leo anaamua kuanza mbele eti unatishia nyau kujitoa roho,.. ili iweje? Ndo maana nashauri afanye haraka tumpe salamu zetu za R.I.P, ili tumsahau kabisa...Kwa sababu ni kilaza sana huyo mshikaji wako!!

Kuna vitu vya kujadili na mwanaume mwenzio lakini siyo suala la kumgawana demu....Dogo hana akili kabisa..Siwezi kumpa pole hata kidogo!!

we sio dark city boss, hakupa heshima ya DC kama District of Columbia.

kweli huyo dume kilaza............anamlilia mwanaume aliyependwa eti amwachie.............inawezekana alitongozewa sasa anajishauri atatongozaje......hakuna cha ushauri mwambie aache ujinga ajichanganye achape kazi....asipokuelewa mpatie ushauri wa DC mara moja tutume sala za rambirambi

Back
Top Bottom