Mapenzi

Jun 10, 2011
20
0
Waheshimiwa mim mwenzenu sina hisia na jambo la mapenzi kwan walionitenda tayari wanatosha...siju wadau mnasemaje je mpo kama mmau
 
kweli jamani hivi kwanin mtu unayempenda anakupotezea wakat wewe ndio umekufa ukaoza. je wenzangu jambo hili mnalionaje kwan linaumiza sana mpaka mim huwa nakosa hata tumain la kuwa na mtu ni mpendaye katika maisha ya kila siku ili ikizewekana basi tufunge ndoa na mungu abariki maisha yetu ya kila siku
 
Hivi Unajua kuvunjwa moyo?? Hapo wewe umevunjwa kweli.... Hivi utakua na hamu na vi element vya mapenzi.. Avatar yako inaonesha kabisa uko pande nzuri upande wa mapenzi...
 
Kwa kweli ungekuwa huna haja ya mapenzi na unateseka na mapenzi hiyo avatar ungeiona chungu sana
 
ndio ukubwa huo,,unadhani ukishampata huyo wa kumuoa ndio hata kuvunja moyo? embu uliza wenye ndoa zao utasema afadhali ya wewe
 
Back
Top Bottom