Mwanifurahisha aana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanifurahisha aana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 8, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Hivi inakuingia akilini??kuwa hapa JF utapata kimwana waliopata ni wale wenye bahati zao hapa yeyote mwenye account hapa siwakushobokea atakutoa kamasi!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaaaaaaa
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Kwani na wewe si una account hapa..!!??? NAWE MTOE KAMASI
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  gotchaaaaa! teheteheee
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  KakaKiiza, usitukatishe tamaa mkuu. Au labda umewekeza kwa kimwana mmojawapo wa JF unaogopa mapinduzi? Jaribu kuwa muwazi tafadhali!
   
 6. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  sasa kaka kiiza utajuaje kama huna bahati lazima ujaribu bana
  By the way vp yamekukuta?
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mimi naapenda mapinduzi ila huwa naangalia thread hadi na cheka maana wengine nawajua!1Na nikitazama watukumi na tano nao wafahamu wote karibu sawa behaver zao kwahiyo najua watu wahumu tuafanana karibu kwa tabia naka hauna ukiingia humu lazima na wewe uwe kama wao!

  Mimi hakuna yaliyo nikuta nipo na wala sithubutu!Ukijaribu utaambia nakaa Dubai na hamu inakishia!
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  aiseeeeeeeeeee!
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nimeshindwa kuelewawa the main issue ni nini?
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Kakakiiza jamani.....njoo basi calabash badae tumalize hii thread...
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  umeshajaribu?
   
 12. SaraM

  SaraM Senior Member

  #12
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nimejiunga leo humu nilitaka kutafuta mchumba bona unanikatisha tamaa kakaliza, rafiki angu kaolewa juzjuz alkutana na mwanaume wake humuhumu, sema sio wale wa matangazo
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  namtafuta Rose1980 wangu jamani, mmenionea wapi?

  wewe kakakiiza hebu nifahamishe tafadhali................
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  umeonaeeeeee! kila mshikaji anamwenyewe.
   
 15. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,724
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Unataka ajaribie kwako?
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mbona mi nishapatwa! Mmmh!
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo na wewe umejiandaa kumtoa mtu kamasi??
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Jamani Preta wangu ndo maana jana nimekuota Hupo??Clabash baadae ila PM kwanza maelekezo yote utayakuta huko!Nakiwanja kipya!
  Pole labda wewe ila kama ukija kwania yakutafuta kulelewa ukadhani hapa mipunga ipo imekula kwako wote wahumu maishemishe zetu zipo mkwepu,Azamu na vibanda vyakutoa photocopy!!

  Kwalipi habari ndo hiyo Hapa ndoto inayeyuka kama mla unga unga ukiisha mwilini na ndoto zakuwa ulaya zinakata!

  Kuna wazee la lookz wakiona fasta wewe uje na jasho lako kutoka kitabu sura ada imekugonga unakuja kubahatisha JF!Na sasa tutawapat wengi Bodi ya mikopo imewagaragaza wengi subiri!
   
 19. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kuna yapi yaliyokusibu? Funguka bro.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  simtoi jamani.
   
Loading...