Tafakariii.....?chukua hatuaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakariii.....?chukua hatuaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by B'REAL, Sep 8, 2011.

 1. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,101
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wakuu naomba kuwakilisha,kama mwezi umepita mtaa jirani na nnao ishi kilitokea tukio la kusikitishaa kama sio kufedhehesha.kuna jamaa aliamia na mchumba wake kama mienzi miwilii hivi.mwanamke wa hajaa,nnapo semaa wa hajaa nazani mtanielewaa ni mzurii,kajaliwaa kilaa sifaa,nyumaa mahagaa ya kutosha,hips kamaa kabebaa panyaa,guu makini na pambazake za mitego.nisiwachoshe kwa sifaa za binti,siku mojaa usiku wakora au majambawazi,walivyamiaa hiyo nyumbaa.walii mfungaa jamaa kambaaa na kum bakaa na kumnajisi yule dadaa vibaya mbele ya mchumba wake,walipo onaa amepoteza fahamu wakaingia mitini..chaa ajabu hawakuibaa kitu chochote,watu waliiofikaa mapema wanasema dada alikuwaa hana gagulo na upande wa kangaa uko upande.point yangu..jamani tukiwaa tunalalaa usiku tusiwe tunavyaa mavazi ya kutamanisha na maumbile ya wengine ni utata,wajombaa wakijaa,wakiona kitu pajaa udenda huo.na tuwe tunavyaa nguo za kistarabu kama maumbilee yetu niya kudatisha.

  je?we ungekuwaa huyu kijanaa ungefanya uwamuzi gani? au ungekuwaa huyu dadaa unge fanyaje?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu wakienda nje WAJISITIRI..,wakilala WAJISITIRI...kwani wanalala jela au mtaani?!
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hebu acha kutupotosha hapa! Wataka kinadada walale na jeans kwa sababu kuna mmoja alibakwa? No way!
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Yaani watu wasilale wapendavyo kisa probability ya kuja majambazi!

  Huo utakuwa utumwa ndani ya nchi
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hao sio MAJAMBAZI waite WABAKAJI au jina linaloendana na walichokitenda.......
   
 6. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  acha utoto...................
   
 7. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hao wabakaji tu.Mimi jirani yangu maeno ya mbezi beach alibakwa na baada ya mwezi akawa na mimba je ungekuwa wwe ni mkeo ungefanyaje?Tena walikuja kwa staili kama hiyo hawakuchuka kitu chochote na huyo mama ni Mlokole.
   
 8. A

  ALLEN MWAKIPESI Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo biashara kichaa za kulala na ni nani anaweza hata mapasta wenyewe hawalali hivyo na hao sio wezi hao ni majirani tu
   
 9. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  doh Lizzy wangu nakukubali...Teh teh teh jibu lako ni sahihi kwa swali sahihi.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Be real bana....
   
 11. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  mhhhhhhh, walikuwa na ugomvi au, mie niliwahi vamiwa na majambazi, wakati tumesikia tu kukuru kakara nikaambiwa vaa jeans na tshirt, baada ya kuwatimua, kupumua na uoga kuondoka nikaanza kucheka na kuuliza kwa nn niliambiwa nivae jeans, akasema wezi hawataki process
   
Loading...