best man na matron wa harusi mhhhh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

best man na matron wa harusi mhhhh!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nailyne, Sep 8, 2011.

1. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#1
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
wakuu ukiangalia harusi za siku hizi nyingi utakuta wasimamizi wa harusi sio mke na mume sasa ukifika wakati wa kufungua mziki unashtukia bestman mkewe huyu hapa kaja kuchukua mumewe na matroni na yeye mumewe huyu hapa anakuja kucheza na mkewe na mbaya zaidi unakuta saa nyingine msimamizi mmoja mwenzi wa wake wa ndoa hajaja kwenye hiyo harusi basi kwa sababu kashanyanywa patna anabaki kushanga shangaa tuu ukumbini, swali langu hivi nini hasa watu wanachofikiria hadi kumkataza mke/mume akisimamia harusi asicheze na matron au patron ambaye si mkewe? ni wivu, kutoaminiana, au kutojiamini??

2. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#2
Sep 8, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180
Nailyne... if your man or woman is around... Why would you want to dance with another??

3. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#3
Sep 8, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280
the usual suspects lol

4. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#4
Sep 8, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Ushamba tu na wivu wa kitoto, maana kwenye gari koote wanakaa pamoja, kule mbele story wanapiga itakuwa kufungua music ambapo wanafungua mbele ya kadamnasi? wanaharibu tu harusi za watu ni bora kama una wivu sana mkatalie partner wako kusimamia harusi

5. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#5
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
msimamizi wa harusi yuko pale ili kukamilisha tukio hilo, ambalo ni pamoja na kufungua mziki,kwani ukifungua mziki na msimamizi mwenzio wa ndoa wakati mke/mumeo yupo maanake humpendi mumeo/mkeo au unakamilisha ratiba ya unayemsimamia for 3minutes!!

6. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#6
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
u said it all my dea

7. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#7
Sep 8, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180

Ni ngumu saaana kuelezea... ila nimekupata the logic behind ulioongea katika hii post....

8. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#8
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
u said it all my dea

9. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#9
Sep 8, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280
halafu watu wengi hawajui....ukiwa na chemistry na mtu mwingine

huwa inaongeza mno hamu kwa mpenzi wako pia....hasa kama na yeye yupo hapo.....

ku flirt na watu wengine huongeza hamu ukirudi home...
kuliko kugandana na mtu wako tu huyo huyo....

10. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#10
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
ku flirt kwa wandoa kuna faida as u said bt chances za kuleta madhara ni kubwaa,ikiwa wote mnao flirt mnajua mipaka yenu thats okay,bt kama mmoja ana flirt wakati mwingine yuko serious...ul be introuble the boss!

11. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#11
Sep 8, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
na bora hiyo ya mziki je wengine wanaaga wanasaidia honeymoon maharusi..

12. Nsiande

Nsiande JF-Expert Member

#12
Sep 8, 2011
Joined: Jul 27, 2009
Messages: 1,649
Likes Received: 11
Trophy Points: 135

Nilisimamia harusi tatu bila mume wangu, kwenye ya kwanza mke wa bestman aliinsist kufungua naye mziki, akiwa amekiacha kitoto cha mwezi mmoja ili kumstalk bwana harusini..luckly my husband was around

Kwenye ya pili mke wa bestman aliingia katikati ya dance na kumvuta mume wake na kukata mauno hadi chini kwenye mziki wa kawaida tu, it was such a huge embarrasment to the wedding actually, luckly mdogo wangu alikuwa one of the bridegroom mates so nikadance naye to the end

Ya tatu the bestman's wife was a friend and wedding went well

Solution: I only agree if they request me and my husband, but I fail to understand public dance insecurity!

13. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#13
Sep 8, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280

kama umesimamia harusi tatu
basi wana haki ya kuwa na wasiwasi

itakuwa something about the way you look........lol

14. SMU

SMU JF-Expert Member

#14
Sep 8, 2011
Joined: Feb 14, 2008
Messages: 7,918
Likes Received: 2,068
Trophy Points: 280
How close is close? Nadhani ni tofauti tu ya mitizamo. Kuna wengine hawapendi wapenzi wao 'washikwe' na mtu mwingine wa jinsia tofauti, kwa wengine pengine hili sio tatizo kabisa. Na wengie hawapo comfortable kushikwa na mtu mwengine (asiye mumewe/mkewe) 'mbele za watu'!

15. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#15
Sep 8, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280
yes ni mbaya kama mnakutana kila siku but harusi
mnaweza msikutane tena,so ni bora ku flirt kwenye harusi
ukitoka hapo unarudi kwa wakwako na appetite zaidi...

16. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#16
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
asante kwa kushare yaliyojiri.. sasa kama huyo mwanamke aliyekuja kumvuta mumewe na kuanza kukata mauno alikuwa anajaribu kuleta picha gani, sometimes watu wanaharibu shughuli za watu bana, mimi harusi ya mdogo wangu matroni mumewe hakuwepo ukumbini alikuja almost muda wa kufungua mziki, na akaja pale mbele chini kapiga sendals,pensi na ki-tishirt flan hivi ,tukiangalia cd za hiyo shughuli huwa tunacheka sana...,

17. Nsiande

Nsiande JF-Expert Member

#17
Sep 8, 2011
Joined: Jul 27, 2009
Messages: 1,649
Likes Received: 11
Trophy Points: 135

Yaani watu wengine wanaharibu shughuli tu jamani

18. Nailyne

Nailyne JF-Expert Member

#18
Sep 8, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 350
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
you nailed it mkuu, kama shida is the way u dance wekeni mipaka, of coz kama msimamizi si mume/mkeo wa ndoa mtacheza bila kukumbatiana hilo mbona linawezekana??

19. Nsiande

Nsiande JF-Expert Member

#19
Sep 8, 2011
Joined: Jul 27, 2009
Messages: 1,649
Likes Received: 11
Trophy Points: 135

Nimesimamia nyingine na mume wangu, ukweli its not about how u look in bongo its affordability as well,
Unaanza kushona nguo za kitchen party, send off n wedding na mchango juu!!

20. Blaki Womani

Blaki Womani JF-Expert Member

#20
Sep 8, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 8,459
Likes Received: 3,711
Trophy Points: 280
umenena

Loading...