Mke wa mjomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa mjomba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dedam, Sep 8, 2011.

 1. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ninavyoelewa kaka yake mama ni mjomba wangu na dada yake baba ni shangazi yangu.swali, mke wa mjomba wangu nimwite nani na mume wa shangazi nimwite nani? kwani jamii zingine wanamwita mkaza shangazi au mkazamjomba wengine wanawaita baba mjomba au mamamjomba majina sahihi ni yapi?
   
Loading...