Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
WanaJF,
Ni jambo lililo ndani ya mila nyingi hapa duniani kwa mwanamke ku-acquire surname ya mume wake baada ya kuoelewa. Asili ya jambo hili siifahamu, ila kuna jambo ambalo nimeanza kuliona au kulielewa siku za karibuni. Sina uhakika kama lilikuwepo kwa sana hapo zamani. Jambo hili ni wingi wa kuona wanawake wanaofunga pingu za maisha siku za karibuni hawachukui au kwa namna nisiyoifahamu, hawafungamani tena na kuchukua majina ya ukoo kutoka upande wa mwanamme. Imekuwa kuwaje au ilikuwaje?!!
Naomba mawaidha yenu katika swala hili. Akhsanteni.
SteveD.